Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
- Thread starter
- #261
Baora hao mwanetu kuliko wewe na ubora wako umenipa mara 5 point 3 na tarehe 16 nakupiga TenaBandari timu dhaifu mmeifunga 1 tu 🤣🤣🤣🤣
Baora hao mwanetu kuliko wewe na ubora wako umenipa mara 5 point 3 na tarehe 16 nakupiga TenaBandari timu dhaifu mmeifunga 1 tu 🤣🤣🤣🤣
Wasiposhika mimba sijui..!Tarehe 16 naziona bao 7 😎
5 ,6 4 hiyo kawaida kwetu , mgumba akipata mimba mate mtaa mzima, octoba ukatiki punguza kiburi.Baora hao mwanetu kuliko wewe na ubora wako umenipa mara 5 point 3 na tarehe 16 nakupiga Tena
Nyie 16 hamtoki lbd mroge kama mnavofanyagaBaora hao mwanetu kuliko wewe na ubora wako umenipa mara 5 point 3 na tarehe 16 nakupiga Tena
Matokeo haya yamenipa mfadhaiko mkubwa sana wa moyo; itabidi nijiandae kisaikolojia.Ft
Yanga SC 1 -0 Bandari fc
Kikosi kipi?Write your reply...duh kwa kikosi hiki naiona yanga yangu mapema ikitolewa club bingwa na hiyo tarehe 16 kuna hati hati ya maumivu, hatuna timu msimu huu engeenier safari hii kapgwa changa la macho
Unamjua pacome weweNyie 16 hamtoki lbd mroge kama mnavofanyaga
😃😃😃😃😃Wasiposhika mimba sijui..!
Makolo yanajifariji kwa performance ya kikosi namba 3.Unamjua pacome wewe
Naunga mkono hoja mkuu 😎Makolo yanajifariji kwa performance ya kikosi namba 3.
Wambie Pacome, Yao na Mzize wote walikua nje.
Wamemuona Ecua na Doumbia.
Kwa wachezaji hawa tuna kikosi cha kikatili sana tusubiri ni jambo la wakati tu.
October mkatiki hata kwa viboko gadeim.Makolo yanajifariji kwa performance ya kikosi namba 3.
Wambie Pacome, Yao na Mzize wote walikua nje.
Wamemuona Ecua na Doumbia.
Kwa wachezaji hawa tuna kikosi cha kikatili sana tusubiri ni jambo la wakati tu.
Mkuu kwanzia Yanga waanze tamasha la wiki ya mwananchi ni mechi moja tu ndio walishinda magoli 2 ila zilizobakia zote ni sare, kufungwa na kaushindi kembamba lakini mwisho wa siku ndio wanakuwa mabingwa. Hivyo tulia uone timu kwenye mashindano halisiMatokeo haya yamenipa mfadhaiko mkubwa sana wa moyo; itabidi nijiandae kisaikolojia.
Hata namba 2 cyo kzrKikosi kipi?
Kama hiki namba 3 uko sahihi.
Tatizo sio hilo Tatizo ni kusema wanapigwa 10 halafu holaMkuu kwanzia Yanga waanze tamasha la wiki ya mwananchi ni mechi moja tu ndio walishinda magoli 2 ila zilizobakia zote ni sare, kufungwa na kaushindi kembamba lakini mwisho wa siku ndio wanakuwa mabingwa. Hivyo tulia uone timu kwenye mashindano halisi
Mimi na kutiki wapi na wapi.October mkatiki hata kwa viboko gadeim.
Aliyesema hivyo nani wachezaji au kocha? Kama hawajasema wahusika wanaovuja jasho kiwanjani basi waliongea wamejifurahisha tu nafsi zaoTatizo sio hilo Tatizo ni kusema wanapigwa 10 halafu hola
Ngoja tuona huko mbele ila utakuja kuniambiaSiyo kweli.
Labda kama unaleta ushabiki.
Yupo jangwaniAnapatikana mtandao gani huyu nikamsalimie