#COVID19 Rais Samia: Nimeona Afisa Afya Tunduru akipita nyumba kwa nyumba kuchanja, suala hili lisifanyike kwa mabavu

Ngoja nikupuuze GT fake, manake kama hilo nalo linatafsiri how GT you're, busara ni kukupuuza! No wonder hata ka-thread kenyewe kameunganishwa kwenye thread zinazo-make sense!!!
Huwa sipuuziki
 

mambo ya muhimu yawapayo mlo watu wake hayaoni afu yale yawapayo mlo jamaa wa mbali anayapa mkazo
 

mambo ya muhimu yawapayo mlo watu wake hayaoni afu yale yawapayo mlo jamaa wa mbali anayapa mkazo
 
Ila isije kuwa nyuma ya pazia anawaagiza kulazimisha halafu akiwa hadharani anajikosha kwa kusema msiwalazimishe watu! Mungu anawaona!! Hakuna tiba ya kulazimishana!! Elimu wengu tunayo na hatuhitaji chanjo!! Kwa nini wengi hawahitaji chanjo? Ni kwa sababu watu wengi waliambukizwa bila kujua na wakapona bila kujua kwa hiyo watu wengi wana kinga ya asili iliyo bora zaidi!!
USHAURI: Tusijiingize kwenye madeni kwa kugharimia tatizo la kubambikizwa ambalo siyo halisi!! Hatuna shida ya corona kihivyo!! Ndiyo maana watu wanawashangaa mnapokazania kitu ambacho si halisi!! Hata hivyo wazungu waliochanja chanjo 2 wanaendelea kuambukizwa, kuambukiza, kuugua na kufa na wameshaambiwa chanjo 2 hazitoshi! Je sisi ambao hata kuchanja chanjo 1 kwa kila mtanzania haiwezekani, si tunapoteza pesa na kuingia kwenye madeni ya muda mrefu bure? Hata tukifanikiwa kuwachanja watu wote chanjo 1 bado mabeberu watakuambia haitoshi!! Watakulazimisha ukope ili uchanje ya pili!! Kwa hiyo tunajiuza sisi na vizazi vyetu yote kuwa watumwa wa kufanya kazi miaka nenda rudi ili kulipa madeni yasiyokuwa na kichwa wala miguu!!
 
mi nafkiri gwajima ndio akamwe kwa nguvu zote achomwe, amekuwa akipinga pinga sana
 
Wangekuwa na nia ya kuokoa maisha ya watu basi hadi sasa wasingekuwa wanaachia mikusanyiko iendelee, suala la level seat limewashinda na watu wanajazana kwenye madaladala kama hiyo corona si wanaambukizana huko, halafu wao wanaachana hayo wanaenda kujikita kwenye chanjo halafu wewe mkuu unaona hao watu wana malengo ya kuokoa maisha ya watu.
 

Serikali inafanya makosa yake lakini wananchi wanatakiwa kujijali wenyewe. Huwezi kutegemea kila kitu hadi afya yako serikali ikujali kuliko wewe mwenyewe kama vile watu ni watoto. Kama elimu haijafika ni kitu kimoja lakini kama umeshaambiwa na unasubiri sheria kila mahali ujue kwamba afya ni yako wewe sio ya traffic wa 👮‍♀️. Ukifa unaacha familia yako wewe
 
Point yangu ipo kwenye kusema kuwa et serikali inaokoa maisha ya watu kwa sababu ya hiyo chanjo wakati wameacha watu waambukizane ugonjwa watakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…