Rais Samia: Nitaendelea kuteua Majaji Wanawake maana ni wazuri zaidi na wanaogopa Dhambi

Huyu spika nadhani ana matatizo. Kila akipewa nafasi ya kuongea, anajitahidi sana kujikomba kwa Rais, na kuonesha kuwa Rais ndiyo kila kitu, taasisi nyingine zote si chochote mbele ya Rais. Nadhani zile tabia za wakati wa awamu ya 5, zimemharibu kabisa.

Ni aheri asingekuwa anapewa nafasi ya kuongea kwenye matukio yasiyomhusu.

Kila akiongea lazima mabebo yake yalete ukakasi.

Serikali, Bunge na Mahakama, ni taasisi zilizopo kwaajili ya Jamhuri, siyo kwaajili ya Rais.
Natamani nisikie kuwa spika kasoma huu ujumbe ili umsaidie mbele ya Safari na huenda jumapili atakwenda kuitubu hii dhambi aliyotenda leo!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji 6 na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili leo Mei 23, 2023, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Walioapishwa ni;
A. Majaji
  • Mhe. Jaji Zainab Goronya Muruke, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
  • Mhe. Jaji Leila Edith Mgonya, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
  • Mhe. Jaji Amour Said Khamis, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
  • Mhe. Jaji Dkt. Benhaji Shaaban Masoud, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
  • Mhe. Jaji Gerson John Mdemu, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
  • Mhe. Jaji Agnes Zephania Mgeyekwa, kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
B. Mwenyekiti wa Baraza la Maadili
Mhe. Jaji (MST) Rose Aggrey Teemba, Kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili.

===​

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamisi Juma amemshukuru Rais kwa kuongeza idadi ya Majaji wa Mahakama ya Rufani ambapo aliwakuta wapo chini ya 16 na sasa wamefika 31.

Majaji hawa 6 walioongezwa watasaidia kuboresha ufanisi wa Mahakama ya Rufani kutoka vikao 7 hadi 9 na kupunguza mzigo kwa kila jopo la Majaji.

Amesema kwa sasa kuna zaidi ya mashauri 200 yanayohusu fedha za kibenki, mashauri zaidi ya 52 kuhusu kodi na mashauri mengi ya mirathi hivyo kufanya pesa nyingi zisiwepo kwenye mzunguko. Amewataka Majaji wapya wafikirie mbinu mpya za kutatua migogoro hii na sio kwenda kwa mazoea kama walivyo wanyama nyumbu.

Pamoja na hayo, Jaji Mkuu amewaasa kushughulikia Kesi watakazopewa kwa haraka ndani ya siku 90 kadri ya mwongozo wao ili kutokuingia kwenye mtego wa kuondolewa kwenye nafasi zao, pia wanapaswa kuwa na tabia njema wawapo kazini. Kazi zao zitaanza rasmi July 3, 2023 baada ya kukabidhi ofisi zao na kupata Semina fupi.

Akizungumza kwenye hafla hiyo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Jaji Mkuu kwa kupata timu mpya na ameahidi kuendelea kuteua wanawake kila atakapofanya uteuzi ili kufikia 50/50.

"Kila nikitengeneza jopo nitakuletea na wanawake ili nifikie 50/50 jambo ambalo hatukulizoea huko nyuma. Lakini sasa kwa sababu wapo na wana qualify, na nina hakika majaji wanawake ni wazuri zaidi, huwa wanaogopa dhambi zaidi...." Amesema Rais Samia.

Amewataka kwenda kufanya kazi bila chuki, huba na upendeleo. Amesema ngazi ya Chini ya Mahakama bado kuna shida na uangalizi mkali unapaswa kufanywa ili haki kwa wananchi wa kawaida itendeke.

Kuhusu Baraza la Maadili, amemtaka Mwenyekiti wa Baraza hilo kusimamia maadili hasa ya watendaji wa Serikali na amesema yupo tayari kubadili watendaji wa baraza hilo ikiwa atapokea mapendekezo kama waliopo hawawezi kutekeleza vyema majukumu yao.

Awali, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema Mhimili wa Mahakama nao hufanya kazi ya kumsaidia Rais. "Wakati mwingine mkitumia hili neno kumsaidia (Rais), kuna watu huwa hawaelewi kama Mhimili wa Mahakama nao hufanya kazi ya kumsaidia Rais lakini naamini sote tunasoma vitabu vyetu vya dini. Kazi zote huwa za Mfalme, wengine tunamsaidia Mfalme kuhakikisha Nchi inakaa sawa sawa"

Amempongeza Rais kwa kuendelea kuwaamini wanawake ambapo kwenye uapisho wa leo wanawake walikuwa 4 na wanaume 3, zaidi ya 50% ya walioapishwa leo.

Kama muwakilishi wa Bunge la wananchi, amewashauri Majaji kutoa haki kwa wakati na kutenda haki bila kuifukia.

Sio kweli wanapiga dili kuliko hata wanaume. Tunakumbuka awamu ya nne yule jaji kimbilio la wauza madawa ya kulevya. Akila dili na kuachia kesi zote za madawa ya kulevya hadi magufuli alipombana kwa ushahidi akajiuzulu.
 
Huyu spika nadhani ana matatizo. Kila akipewa nafasi ya kuongea, anajitahidi sana kujikomba kwa Rais, na kuonesha kuwa Rais ndiyo kila kitu, taasisi nyingine zote si chochote mbele ya Rais. Nadhani zile tabia za wakati wa awamu ya 5, zimemharibu kabisa.

Ni aheri asingekuwa anapewa nafasi ya kuongea kwenye matukio yasiyomhusu.

Kila akiongea lazima mabebo yake yalete ukakasi.

Serikali, Bunge na Mahakama, ni taasisi zilizopo kwaajili ya Jamhuri, siyo kwaajili ya Rais.
Na ikumbukwe ni mwanasheria
 
Wawapendelee na vyuoni mana wengi wameingia kwa kubebwa, sasa kinachofuata ni digree za chupi kujaa
 
Hata mkuu wa majeshi akiwa mwamke ni poa kwa wanawake wanaweza sana na wanajeshi wote pia wawe wanawake pia
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji 6 na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili leo Mei 23, 2023, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.

Walioapishwa ni;
A. Majaji
  • Mhe. Jaji Zainab Goronya Muruke, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
  • Mhe. Jaji Leila Edith Mgonya, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
  • Mhe. Jaji Amour Said Khamis, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
  • Mhe. Jaji Dkt. Benhaji Shaaban Masoud, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
  • Mhe. Jaji Gerson John Mdemu, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
  • Mhe. Jaji Agnes Zephania Mgeyekwa, kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa​
B. Mwenyekiti wa Baraza la Maadili
Mhe. Jaji (MST) Rose Aggrey Teemba, Kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili.

===​

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamisi Juma amemshukuru Rais kwa kuongeza idadi ya Majaji wa Mahakama ya Rufani ambapo aliwakuta wapo chini ya 16 na sasa wamefika 31.

Majaji hawa 6 walioongezwa watasaidia kuboresha ufanisi wa Mahakama ya Rufani kutoka vikao 7 hadi 9 na kupunguza mzigo kwa kila jopo la Majaji.

Amesema kwa sasa kuna zaidi ya mashauri 200 yanayohusu fedha za kibenki, mashauri zaidi ya 52 kuhusu kodi na mashauri mengi ya mirathi hivyo kufanya pesa nyingi zisiwepo kwenye mzunguko. Amewataka Majaji wapya wafikirie mbinu mpya za kutatua migogoro hii na sio kwenda kwa mazoea kama walivyo wanyama nyumbu.

Pamoja na hayo, Jaji Mkuu amewaasa kushughulikia Kesi watakazopewa kwa haraka ndani ya siku 90 kadri ya mwongozo wao ili kutokuingia kwenye mtego wa kuondolewa kwenye nafasi zao, pia wanapaswa kuwa na tabia njema wawapo kazini. Kazi zao zitaanza rasmi July 3, 2023 baada ya kukabidhi ofisi zao na kupata Semina fupi.

Akizungumza kwenye hafla hiyo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amempongeza Jaji Mkuu kwa kupata timu mpya na ameahidi kuendelea kuteua wanawake kila atakapofanya uteuzi ili kufikia 50/50.

"Kila nikitengeneza jopo nitakuletea na wanawake ili nifikie 50/50 jambo ambalo hatukulizoea huko nyuma. Lakini sasa kwa sababu wapo na wana qualify, na nina hakika majaji wanawake ni wazuri zaidi, huwa wanaogopa dhambi zaidi...." Amesema Rais Samia.

Amewataka kwenda kufanya kazi bila chuki, huba na upendeleo. Amesema ngazi ya Chini ya Mahakama bado kuna shida na uangalizi mkali unapaswa kufanywa ili haki kwa wananchi wa kawaida itendeke.

Kuhusu Baraza la Maadili, amemtaka Mwenyekiti wa Baraza hilo kusimamia maadili hasa ya watendaji wa Serikali na amesema yupo tayari kubadili watendaji wa baraza hilo ikiwa atapokea mapendekezo kama waliopo hawawezi kutekeleza vyema majukumu yao.

Awali, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema Mhimili wa Mahakama nao hufanya kazi ya kumsaidia Rais. "Wakati mwingine mkitumia hili neno kumsaidia (Rais), kuna watu huwa hawaelewi kama Mhimili wa Mahakama nao hufanya kazi ya kumsaidia Rais lakini naamini sote tunasoma vitabu vyetu vya dini. Kazi zote huwa za Mfalme, wengine tunamsaidia Mfalme kuhakikisha Nchi inakaa sawa sawa"

Amempongeza Rais kwa kuendelea kuwaamini wanawake ambapo kwenye uapisho wa leo wanawake walikuwa 4 na wanaume 3, zaidi ya 50% ya walioapishwa leo.

Kama muwakilishi wa Bunge la wananchi, amewashauri Majaji kutoa haki kwa wakati na kutenda haki bila kuifukia.

Kama ana manisha basi itakuwa safi sana.

Ila wanawake kama Dr Tulia mimi nakataa😅😅
 
[emoji2956][emoji2956]
 
Kama ana manisha basi itakuwa safi sana.

Ila wanawake kama Dr Tulia mimi nakataa😅😅
Uwezo wake Tulia huko chini sana, na ndio shida ya viongozi wa kupachikwa, Zungu alifaa sana kuwa spika kipindi hichi.
 
Na Dart wamewakacha Wanaume, makondakta nao ni hivyo hivyo..
 
Huyu spika nadhani ana matatizo. Kila akipewa nafasi ya kuongea, anajitahidi sana kujikomba kwa Rais, na kuonesha kuwa Rais ndiyo kila kitu, taasisi nyingine zote si chochote mbele ya Rais. Nadhani zile tabia za wakati wa awamu ya 5, zimemharibu kabisa.

Ni aheri asingekuwa anapewa nafasi ya kuongea kwenye matukio yasiyomhusu.

Kila akiongea lazima mabebo yake yalete ukakasi.

Serikali, Bunge na Mahakama, ni taasisi zilizopo kwaajili ya Jamhuri, siyo kwaajili ya Rais.
Aisee ni kama huko akilini mwangu hivi spika hana watu wa kumwandalia hotuba, kwa ufupi ni mweupe hata Rusia niliona amechemka, Tumeangazia..... tumeangazia....
 
Wewe unaogogopa dhambi? Mbona ulimfunga Mbowe kwa kesi ya uongo ya UGAIDI? Mbona unakumbatia COVID 19 Kinyume na katiba uliyoapa?Mbona umetoa rushwa kwa Mbowe ili asikuseme vibaya?
Hivi alisha kujibu hoja zako hizi za nguvu? Huyu hajui analolisimamia!
 
Back
Top Bottom