Rais Samia: Nitaendelea kuteua Majaji Wanawake maana ni wazuri zaidi na wanaogopa Dhambi

Natamani nisikie kuwa spika kasoma huu ujumbe ili umsaidie mbele ya Safari na huenda jumapili atakwenda kuitubu hii dhambi aliyotenda leo!
 
Sio kweli wanapiga dili kuliko hata wanaume. Tunakumbuka awamu ya nne yule jaji kimbilio la wauza madawa ya kulevya. Akila dili na kuachia kesi zote za madawa ya kulevya hadi magufuli alipombana kwa ushahidi akajiuzulu.
 
Na ikumbukwe ni mwanasheria
 
Wawapendelee na vyuoni mana wengi wameingia kwa kubebwa, sasa kinachofuata ni digree za chupi kujaa
 
Hata mkuu wa majeshi akiwa mwamke ni poa kwa wanawake wanaweza sana na wanajeshi wote pia wawe wanawake pia
 
Kama ana manisha basi itakuwa safi sana.

Ila wanawake kama Dr Tulia mimi nakataa😅😅
 
[emoji2956][emoji2956]
 
Kama ana manisha basi itakuwa safi sana.

Ila wanawake kama Dr Tulia mimi nakataa😅😅
Uwezo wake Tulia huko chini sana, na ndio shida ya viongozi wa kupachikwa, Zungu alifaa sana kuwa spika kipindi hichi.
 
Na Dart wamewakacha Wanaume, makondakta nao ni hivyo hivyo..
 
Aisee ni kama huko akilini mwangu hivi spika hana watu wa kumwandalia hotuba, kwa ufupi ni mweupe hata Rusia niliona amechemka, Tumeangazia..... tumeangazia....
 
Wewe unaogogopa dhambi? Mbona ulimfunga Mbowe kwa kesi ya uongo ya UGAIDI? Mbona unakumbatia COVID 19 Kinyume na katiba uliyoapa?Mbona umetoa rushwa kwa Mbowe ili asikuseme vibaya?
Hivi alisha kujibu hoja zako hizi za nguvu? Huyu hajui analolisimamia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…