Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Hi nchi ngumu sana hi, kwani Wamasai wakiondolewa pale ni lazima pia Mwarabu aende? Kwani Wamasai wakiondolewa na pakabaki kama mbuga kuna tatizo gani? Watu weusi tuna matatizo makubwa sana ya kufikiri, so option pekee unayoiona wewe ni ku hakikisha kwamba Mwarabu anakaa mbugani? Akili zetu hizi sometimes unaweza kumkufuru Mungu kwamba huenda sie weusi hasa Watanzania labda hatukuumbwa na yeye!Hivi kipi Bora? Mmasai aharibu mazingira ya wanyama tukose watalii na pato lake ama mwarabu atunze wanyama na kutupatia Kodi?
Kuna zaidi ya AICC na JNICC??Kwanza unaelewaje ukiambiwa kituo cha utalii wa mikutano?
Manaake naona kama una elimu ya hapa na pale? Nikueleweshe kwanza
Nadhani huna ABC za ayafanyayo muarabu kule loliondo. Kimsingi hafanyi uhifadhi zaidi ya kusafirisha wanyama hai kwenda kwao. Suala la uhifadhi ni la mamlaka za uhifadhi kama serengeti na ngorongoro sio la muarabu. Muarabu hakuomba kitaru afanye uhifadhi bali uwindaji.Hivi kipi Bora? Mmasai aharibu mazingira ya wanyama tukose watalii na pato lake ama mwarabu atunze wanyama na kutupatia Kodi?
Jaribu kutulia ili uelewe alichokisema muanzisha uzi1. Hujawai ona jema kwa Samia
2. Hakuna mkataba uliosainiwa juu ya Wanyama au Ngorongoro. Kabla ya kupost kitu fanya utafiti
3. Ngorongoro lazima ilindwe kwa faida na maslahi makubwa kwa Taifa kiutalii inayoongoza katika kukuza pato la Taifa hivyo lazima uhifadhi ulindwe kwa gharama yeyote
4. Tayari Wamasai wameanza kujiandiskisha kuondoka na soon sheria inatungwa
Weka huo ukweli hapa. Wewe unasikia kwenye vyombo vya habari wenzako wanaishi hukoHizo stori za mwarabu kupewa Ngorongoro ni uongo wa uzandiki wao!
Achana nao hawa malalamiko fc walio has chuki dhidi ya Samia
Mheshimiwa Rais,
Umefanya ziara ya kikazi huko UAE, hilo ni jambo zuri tunalifurahia
Lakini wakati ukifanya Ziara hiyo, Watanzania hatujasahau kuwa Kampuni ya waarabu wa UAE iitwayo OBC imekuwa ikimezea mate ardhi ya wananchi inayokaliwa na wamasai huko Ngorongoro.
Tuna historia nzuri namna Mwana mfalme Brigedia Al Ali alivyopewa vitalu vya uwindaji kifisadi huko Loliondo enzi za utawala wa mzee Mwinyi, na tunajua namna alivyokuwa akikingiwa kifua na tawala zilizofuata.
Sasa tunapata wasiwasi kuwa umeenda huko kipindi hiki ambacho kuna vuguvugu la kutaka kuwaondoa wamasai kwa visingizio feki vya kutunza mazingira na uhifadhi lakini dalili zote ni. kutaka kuipa hiyo kampuni ya UAE eneo zaidi. Hatujui kama kwenye meza ya majadiliano hilo mmelizungumza, lakini hata kama mmelizungumza, mheshimiwa rais hiyo kitu ni kaa ya moto achana nayo kabisaa maana sisi wsnanchi hatuwezi kuikubali.
Tunajua miezi mitatu iliyopita alikuwepo waziri wako wa fedha huko UAE ndugu Mwigulu Nchemba, na tunajua kuwa kipindi Mwigulu alipokuwa naibu katibu mkuu wa CCM enzi za Kikwete amewahi kuunda kamati ya kuchunguza ishu za migogoro ya Ngorongoro, na hatujui kamati yake ilikuja na findings zipi, kwa hiyo tulipomuona kaenda huko UAE, na kisha aliporejea nchini tukaanza kuona harakati za kuwaondoa Wamasai Ngorongoro zimeshika kasi, tukahisi hapa lazima kuna kitu mwarabu keshafabya behind the scene!
Mwisho nataka nikwambie mheshimiwa Rais, kama mmewekeana saini ya kusafirisha wanyama wetu ili Dubai watengeneze Mbuga yao kwa kutumua wanyama kutoka Africa kama tulivyoona kwenye mitandao nayo achana nayo. Hao watu wana hela, na wanaweza kuathiri utalii wetu sana kama wakiweza kutengeneza mfano wa Safari za Afrika.
Tunajua, Mwarabu ni mzuri sana wa kugawa "Takrima", Tafadhali ndugu Rais hakikisha mwarabu hatii mguu kwenye Mbuga zetu, wanyama wetu na kikubwa zaidi kufukuza wananchi wetu ili yeye apate nafasi ya vitalu zaidi vya uwindaji
Watanzania ULOXI tuliopigwa ni hatari. Tumekuwa makondoo!Ngorongoro ishapigwa bei.
Mwinyi aliuza Loliondo Gate
Mkapa akauza mashirika ya serikali, nyumba na viwanda na migodi pia.
Kikwete akauza ardhi ya Bagamoyo kwa Wachina.
Huyu sasa kasaini mikataba 14 ya uwekezaji.
Soon wamasai wataondolewa
Uliza weww mkuu maana sie chuki zimetujaaHivi kipi Bora? Mmasai aharibu mazingira ya wanyama tukose watalii na pato lake ama mwarabu atunze wanyama na kutupatia Kodi?
Yaani mwarabu atunze wanyama?Hivi kipi Bora? Mmasai aharibu mazingira ya wanyama tukose watalii na pato lake ama mwarabu atunze wanyama na kutupatia Kodi?
Ni Magu na Nyerere pekee hawakufanya ujinga na upumbavuNgorongoro ishapigwa bei.
Mwinyi aliuza Loliondo Gate
Mkapa akauza mashirika ya serikali, nyumba na viwanda na migodi pia.
Kikwete akauza ardhi ya Bagamoyo kwa Wachina.
Huyu sasa kasaini mikataba 14 ya uwekezaji.
Soon wamasai wataondolewa
Pesa huondoa utu.Pesa inataka kuwafanya watawala Waone waarabu wana maana sana kuliko wananchi wamasai wanaoishi na wanyama kwa maelfu ya miaka
Ila mwarabu ana ardhi?Masai hana ardhi ngorongoro, Tanzania ardhi yote ni ya Wananchi na itatumika kwa maslahi ya Taifa.
Kama arshi ya ngorongoro ya wamasai, kilosa mnatafuta nini? Mvomero mnafanya nini?
Hawa masai wanacheleweshwa wanazidi kuchonga mdomo.
Serikali inipe tenda ya kuwaondoka chapu niwaonyeshe.
Haelewi kuwa mwarabu hakuuziwa ili alinde hifadhi bali afanye uwindajiYaani mwarabu atunze wanyama?
Tangu lini?.
Wamasai wamekuwa wtunzaji wa Wanyama wazuri sana karne na karne ndiyo maana ujangili huko ngorongoro ni mdogo kuliko mbuga nyingine.
Uliona wapi mwarabu analilia ardhi. Ardhi ni mali ya umma na dhamana anayo mwenye mamlaka ya nchi.Ila mwarabu ana ardhi?
Mataga gubu lenu litaisha lini?Binafsi nilikuwa naegemea upande mmoja ila, nasadiki kusema acheni watu wale na kumbukeni nchi inafunguliwa, acheni kulialia, hii nchi ni kubwa.
Ongeza na hii ya wale ndugu zako, "tuliumizwa sana na sasa anaupiga mwingi"