Rais Samia pamoja na ziara yako nzuri huko UAE, Suala la Ngorongoro liwe nje ya ajenda

Rais Samia pamoja na ziara yako nzuri huko UAE, Suala la Ngorongoro liwe nje ya ajenda

Hivi kipi Bora? Mmasai aharibu mazingira ya wanyama tukose watalii na pato lake ama mwarabu atunze wanyama na kutupatia Kodi?
Biblia ina jibu. Binadamu awatawale wanyama siyi wanyama wamtawale Binadamu. Mimi nachagua wanyama waondoke binadamu abaki - atafuga ng'ombe, atalima nk, nchi itasonga mbele na mkumbuke nchi ni watu kwanza.
Kumbukeni pia kauli kuwa tunahitaji 1. Watu, 2. Ardhi, 3. Siasa safi, na 4. uongozi bora - kuna Tembo na Faru hapo?
Hivi binadamu akiteketea, hao wanyama watakuwa faida kwa nani
 
Back
Top Bottom