Biblia ina jibu. Binadamu awatawale wanyama siyi wanyama wamtawale Binadamu. Mimi nachagua wanyama waondoke binadamu abaki - atafuga ng'ombe, atalima nk, nchi itasonga mbele na mkumbuke nchi ni watu kwanza.
Kumbukeni pia kauli kuwa tunahitaji 1. Watu, 2. Ardhi, 3. Siasa safi, na 4. uongozi bora - kuna Tembo na Faru hapo?
Hivi binadamu akiteketea, hao wanyama watakuwa faida kwa nani