Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

Hakusema wanataka miaka miwili kesho yake usipotoshe, sirro alianza kuhutubia siku hiyo hiyo akasema wanahitaji miaka miwili, baadae Rais akahutubia na kusema wafute kesi ... USIPOTOSHE ndugu yangu ata kama una chuki
 
Hakusema wanataka miaka miwili kesho yake usipotoshe, sirro alianza kuhutubia siku hiyo hiyo akasema wanahitaji miaka miwili, baadae Rais akahutubia na kusema wafute kesi ... USIPOTOSHE ndugu yangu ata kama una chuki
Hiyo chuki umesema wewe hivi inachukua miaka miwili kufuta kesi ambayo hata wewe mwenyewe unajua ni Feki? na kwa taarifa yako maneno ya amiri jeshi mkuu hayajibiwi kwa maneno ni utekelezaji tu Period, Mbona mwendazake walikua hawamfanyii hivi? mission yenu imetimia ya kumfanya mama aonekane hafai
 
Sirro alianza kuhutubia na kusema wanaomba miaka miwili na baadae samia akahutubia ndio akasema wafute hizo kesi za kubambikia
.
Wewe umesema sirro alimjibu kesho yake ndio maana nikasema unapotosha sirro hakujibu kesho yake alizungumza ata kabla rais hajazungumza siku hiyo ya uzinduzi wa kiwanda cha jeshi la polisi
 
Amiri Jeshi Ameshaongea....WATEKELEZE!!

#NchiKwanza
#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Bunge liko wapi kubadilisha hizi sheria za kuwaweka watu ndani bila utaratibu wa ushahidi uliokamilika? ndio kazi yake hasa kurekebisha huu uonezi kwa kutunga sheria kumaliza huu uonezi kwa wananchi, Samia ataongea tuu lakini itabaki kuwa siasa tuu maana sheria bado inaruhusu kumweka mtu ndani bila kukamilika upelelezi, hapa bunge lifanye kazi yake sio kuonea wapinzani tuu na kuhangaika na kina Gwajima kwa vitu vya kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…