Alipokuitana nao mara ya mwisho akawaambia ooh mnabamkikiza kesi na kesi zooote mlizobambika futeni, kesho yake tu Sirro akamjibu tunataka miaka miwili ndio tufute sasa leo ngonjera zinaendelea ooh sijui mahabusu sijui nini, we dont have a president hapa tumepigwa sana hapa, alitakiwa atoe maagizo na asimamie kama hayatekelezeki atumbue watu , sasa yeye anadhani wanampenda sana kwa kujichetua na kujichekesha, mwenzie jiwe alikua ikiwezekana anakuua kama hutaki maagizo yake ila bahati nzuri naye kafwa