Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Anajipapasa kama siyo kujipupusa motoni 🪛🪓🔨🪃⛏️⚒️
She is an idiot pro max!Yeye kwake Kosa sio Jeshi la Polisi Kuchukua Rushwa .....ilo aaahhhhhh.
Kosa ni 'Clip za Rushwa kuwekewa mitandaoni'.
Yaan kwa Mfano, Umeoa, umefunga zako CCTV ndani, umesafiri, Mkeo kaleta Mchepuko ndani, unamfuma na kumwonyesha hizo Video.
MKE Anaanza kukulaumu akijitahidi kuonyesha kua Kosa ni Lako wewe, kwann uweke Kamera 🤣🤣
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 28, 2026 Jijini Dar es salaam amesema Askari Polisi wanapaswa kurekebisha mwenendo usiofaa unaochafua taswira ya Jeshi la Polisi mbele ya Wananchi.
Dkt. Samia ameyasema hayo wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi zilizofanyika katika Chuo cha Polisi Kurasini, ambapo amesisitiza umuhimu wa nidhamu, uwajibikaji na uadilifu kwa Askari wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku.
“Tumezoea huko nyuma kuona Askari wakisimamisha magari na wakifanya mambo ambayo hayakubaliki, sasa hizo ndio nyanja za medani muende mkarekebishe hayo, yale tunayoyaona viclip vinavyorushwa rushwa visirushwe askari wetu msimame kwenye mambo yenu” amesema Rais Samia.
Huyu Mama amesha pigwa upofu yaani haeleweki kama yule waziri wake wa mambo ya nje... 😁 😁 Ati ata toa ufafanuzi wa wa hotuba yake maana watu haja muelewa.Yeye kwake Kosa sio Jeshi la Polisi Kuchukua Rushwa .....ilo aaahhhhhh.
Kosa ni 'Clip za Rushwa kuwekewa mitandaoni'.
Yaan kwa Mfano, Umeoa, umefunga zako CCTV ndani, umesafiri, Mkeo kaleta Mchepuko ndani, unamfuma na kumwonyesha hizo Video.
MKE Anaanza kukulaumu akijitahidi kuonyesha kua Kosa ni Lako wewe, kwann uweke Kamera 🤣🤣
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 28, 2026 Jijini Dar es salaam amesema Askari Polisi wanapaswa kurekebisha mwenendo usiofaa unaochafua taswira ya Jeshi la Polisi mbele ya Wananchi.
Dkt. Samia ameyasema hayo wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi zilizofanyika katika Chuo cha Polisi Kurasini, ambapo amesisitiza umuhimu wa nidhamu, uwajibikaji na uadilifu kwa Askari wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku.
“Tumezoea huko nyuma kuona Askari wakisimamisha magari na wakifanya mambo ambayo hayakubaliki, sasa hizo ndio nyanja za medani muende mkarekebishe hayo, yale tunayoyaona viclip vinavyorushwa rushwa visirushwe askari wetu msimame kwenye mambo yenu” amesema Rais Samia.
Sijakuelewa, waendelee kula rushwa ila vi clip visirushwe kwa vile vinaichafua polisi AU waache kula rushwa ili watu wasipate cha kurusha! Please clarify!Yeye kwake Kosa sio Jeshi la Polisi Kuchukua Rushwa .....ilo aaahhhhhh.
Kosa ni 'Clip za Rushwa kuwekewa mitandaoni'.
Yaan kwa Mfano, Umeoa, umefunga zako CCTV ndani, umesafiri, Mkeo kaleta Mchepuko ndani, unamfuma na kumwonyesha hizo Video.
MKE Anaanza kukulaumu akijitahidi kuonyesha kua Kosa ni Lako wewe, kwann uweke Kamera 🤣🤣
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 28, 2026 Jijini Dar es salaam amesema Askari Polisi wanapaswa kurekebisha mwenendo usiofaa unaochafua taswira ya Jeshi la Polisi mbele ya Wananchi.
Dkt. Samia ameyasema hayo wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi zilizofanyika katika Chuo cha Polisi Kurasini, ambapo amesisitiza umuhimu wa nidhamu, uwajibikaji na uadilifu kwa Askari wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku.
“Tumezoea huko nyuma kuona Askari wakisimamisha magari na wakifanya mambo ambayo hayakubaliki, sasa hizo ndio nyanja za medani muende mkarekebishe hayo, yale tunayoyaona viclip vinavyorushwa rushwa visirushwe askari wetu msimame kwenye mambo yenu” amesema Rais Samia.
Hata wala rushwa anashindwa kuwakemeaHuyu bibi hawezi wakemea polisi, ndio alioagiza wauwe watu na kuwazika.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa huyu Tyrant Suluhu, bora hata Kingwendu angekua Rais. 🚮
Hatuna rais mkuu!Duh nimesoma mara mbilimbili kumbe Samia anasema "visirushwe" nilifikira anataka "virushwe", kumbe hataki! Doh!
Kwa hili mimi nimeelewa tofauti.SUKUMA GANG naombeeni msamaha hazikuwa akili zangu. Nini hiki?!
Kwa kweli ni huzuniAnataka aiache Tanzania ikiwa inanuka Rushwa. Nilisha waambia, Samia hana cha kupoteza. Hata muuane yeye hajali..
Mla rushwa hawezi kemea rushwa
Sasa watakulaje kwa urefu wa kamba zao?Mimi nime elewa kuwa Mhe Rais ameamanisha kuwa Polisi wasichukue rushwa ili hivyo vi clips visipatikane. Na visipopatikana mana yake havitatushwa.
Utaacha ndalaAibu naona mimi