Rais Samia: Polisi hakikisheni ‘Vi-clip clip’ visirushwe, msimame kwenye mambo yenu

She is an idiot pro max!
 
Huyu Mama amesha pigwa upofu yaani haeleweki kama yule waziri wake wa mambo ya nje... 😁 😁 Ati ata toa ufafanuzi wa wa hotuba yake maana watu haja muelewa.
 
Sijakuelewa, waendelee kula rushwa ila vi clip visirushwe kwa vile vinaichafua polisi AU waache kula rushwa ili watu wasipate cha kurusha! Please clarify!
 
Mimi nime elewa kuwa Mhe Rais ameamanisha kuwa Polisi wasichukue rushwa ili hivyo vi clips visipatikane. Na visipopatikana mana yake havitatushwa.
 
SUKUMA GANG naombeeni msamaha hazikuwa akili zangu. Nini hiki?!
Kwa hili mimi nimeelewa tofauti.
Amemaanisha polisi waache rushwa, wahakikishe havirushwi viclip kwa sababu wakiacha hayo mambo mabaya aliyo waasa waache hakutakuwa na viclip vya kuchafua jeshi la polisi.
Mnyonge nyongeni haki yake mpeni.

Hapo tatizo lugha aliyo tumia wengi wameelewa kinyume na kusudio lake au watu wanapotosha makusudi.

BTW, kwanini hajakemea utekaji na viclip vya tuhuma za utekaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…