Rais Samia: Polisi hakikisheni ‘Vi-clip clip’ visirushwe, msimame kwenye mambo yenu

upotoshaji wako nonsense na anachoeleza kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan ni vitu viwili tofauti kabisa gentleman mpotoshaji,

in fact,
waliofunza upotoshaji ni muhimu sana wakutambue walau na kacheti tu basi 🤣
 
Madhara yatokanayo na elimu mbali mbali
 
Sasa nitajipa kazi ya kurusha virushwa na vikero vya wale maofisa barabarani,je upo tayari kuvizuia pia?
 
Sio kuwa uwezo wake haujulikanji. Wanaujua.. Ila naanza kupatwa na hisia kuwa inawezekana malengo/mipango endelevu ya kikundi fulan kinachojiona ndo kina hatimiliki ya kuongoza na kuendesha nchi kuelekea 2030s ili huyu wa sasa avurunde sana atapoletwa mmoja wa "watoto wao 2030" watu waseme potelea pote bora aje huyu kuliko anaeondoka. Standards za namba 1 wa viwango zimeporomoshwa makusudi kwa malengo ya wanoamini wao ndio decion makers...
 
Duuuh, hiki kweli kidudu mtu
 
 

Attachments

  • IMG_20211029_105959.jpg
    15.5 KB · Views: 13
Kiswahili chake ndiyo kinachanganya wengi...
Hapo amemaanisha wasitende hayo mambo ili pasiwe na clip zakurushwa...


Cc: Mahondaw
 
Anataka aiache Tanzania ikiwa inanuka Rushwa. Nilisha waambia, Samia hana cha kupoteza. Hata muuane yeye hajali..

Mla rushwa hawezi kemea rushwa
Hilo mbona liko wazi, lengo lake ni kuhakikisha Tanganyika inasambaratika huku Zanzibar ikishamiri. Anafanikiwa sana kwenye hilo.
 
Mumetafsiri vibaya ,hakumaanisha hivyo
Umetoa wapi audacity ya kufundisha namna kusikiliza na kuelewa bi Mwajuma nchokonoe anachoongea, kwani kaanza leo kuongea pumba. Si ndiyo huyuhuyu aliyewaambia watumishi wa serikali na mshirika ya umma wale kwa urefu wa kamba zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…