Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Ni HIVI wote tumesikia leo kuhusu takwimu za maambukizi mapya ya vvu nchini na kwamba asilimia kubwa ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 HADI 20.

Nini KIFANYIKE KUPUNGUZA kasi ya maambukizi?

Solution zinaweza kuwa nyingi lakini Kati ya hizo Nina amini zifuatazo zinaweza kusaidia KUPUNGUZA kasi ya maambukizi.


1. Punguza umri wa kufunga ndoa/umri wa kuruhusiwa kuingia katika mahusiano.

Wakati Sheikh Mohamed Yusuf anaanzisha vugu vugu la Boko Haram huko nchini Nigeria wengi hawakumuelewa.

Boko Haram ilianza kama kikundi cha Dah'wa maana yake ni :

Boko= western Education.

Haram = Illegal


Sheikh Mohd Yusuf aliamini kwamba Colonial Education ilikuwa introduced Afrika KWA sababu zifuatazo :


1. Ku control population ya mwafrika.( Mwanamke badala ya kuolewa akisha balehe kama nature unavyo dictate anaolewa akiwa na miaka 30 baada ya KUMALIZA chuo. Miaka 30 ni umri ambao mwanamke anatakiwa kuwa na at least watoto watatu HADI watano.

Sheikh Mohamed Yusuf alitaka waafrika turudi katika uasili wetu, turuhusu nature I dictate maisha yetu. Nature is nothing but the will of God. The will of God to humans has been stamped in the nature. God talks to humans through nature.

Binti anapo vunja ungo akiwa na miaka kumi na tatu tafsiri yake ni kwamba nature inasema kwamba binti huyu SASA yupo tayari KWA ajili ya kuolewa.

Elimu ya kikoloni ina pingana na nature katika hili inasema huyu ni mtoto ambae bado anatakiwa kuwa shule.

So badala ya kuolewa na kufanya kazi namba moja iliyo fanya mwanamke akawepo duniani binti huyu anatumia balekhe yake yote shuleni. Anamaliza chuo akiwa na miaka 24-30 anakuja kuolewa akiwa na.miaka 35 hapo tayari ameshatoa mimba tano uzazi wa tabu miaka arobaini no mtoto , unakutana nae KWA Mwamposa anapiga makofi " Anasumbukia maisha yangu × 2"

Anakuja kupata mtoto akiwa tayari amezeeka miaka 45+


2. Ku eneza zinaa.

Nature inasema binti akisha vunja ungo tu anatakiwa apate mume na kijana akisha balekhe tu anatakiwa apewe mke.


Binti anavunja ungo ana miaka 12/13/14/15 na kijana ana balekhe ana.miaka 15/16/17

KWA mujibu wa nature ambayo ndio the true will of God kijana wa umri huo ndio anatakiwa apewe mke mwenye umri huo tajwa hapo juu jambo ambalo litaondoa zinaa katika nchi

( Saudia wamefanikiwa sana katika hili. Age of consent in Saudia is 14 years old. Angola and the Philippines ni miaka 12 , Nigeria miaka 11)

Sasa basi kwa kuwa umri huo vijana wanakuwa bado wapo shule na nature is more powerful than blood wanakuwa hawana option zaidi ya kufanya zinaa. Vijana hawapewi elimu ya kujilinda na ukimwi KWA sababu jamii inawachukulia kwamba eti bado ni watoto wakati wao tayari washakuwa watu wazima. Mwisho wa siku ndio kama tulicho kisikia kwenye takwimu leo.



So nini KIFANYIKE. Umri wa ndoa ushushwe KWA watu wote ( najua sheria ya ndoa ya Tanzania ya mwaka 71 inasema KWA ndoa ya kiislamu binti anaweza kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 KWA ridhaa ya wazazi wake au 15 KWA ridhaa yake mwenyewe)

Naomba sheria hii iwe general kwa watu wote KWA sababu ndio sheria inayo endana na uhalisia wa nature.



NAMBA MBILI: MUZIKI WA AMAPIANO UPIGWE MARUFUKU.


Kama kuna mtu haijui nguvu ya muziki katika kushape na kudictate tabia na matendo ya watu katika jamii basi mtu huyo anahitaji maombi mazito sana.

Muziki una nguvu ya kushape na kudictate tabia na matendo ya watu hasa vijana ambao ndio consumer wakubwa wa muziki kwa kiasi kikubwa sana.

Kuna watu huhalalisha matendo fulani kwa sababu tu yameimbwa kwenye nyimbo.


Mtu anaweza kusema " Bana wewe mimi siwezi kuoa sass hivi wanawake wenyewe wa kuoa siku hizi hawapo.. Hata mwana Fa alishawahi kuimba*

Nakumbuka mwaka 2001 Msanii Zay B alitoa wimbo unaitwa Gasp Remix.( inspector haroun diss ) katika wimbo huo alishirikishwa Juma Nature.

Kwenye verse ya Juma Nature kuna mstari anasema " Jela kwetu sisi disko tunaruka tu masadari vibaka na watu wa shari"

Nilikuwa kidato cha tatu kipindi hicho. Kuna vijana walikuwa wanafanya uhalifu, wakiambiwa kuna Jela wanajibu " Jela kwetu sisi disko" hii inaonyesha jinsi GANI muziki ulivo na nguvu.

Muziki una nguvu sana katika kushape na kudictate matendo na tabia za vijana walio kwenye adolescent age.


Sisi vijana ambao tulikuwa kwenye adolescent age mwanzoni mwa miaka.ya 2000 tumefanikiwa kuvuka kipindi hicho salama KWA sababu muziki uli fanikiwa kushape na kudictate matendo yetu hasa katika suala zima la kujihusisha na ngono.

Huku unakutana na Kosa la marehemu ya uswahilini Matola.

Kule unakutana na "Sukari ina Pilipili" ya solo Thang.

Hujakaa SAWA unakutana na Usinitenge ya Profesa Jay.

Hapo bado sijaitaja Starehe ya Ferooz

Hata ukisikiliza nyimbo ambazo sio za ukimwi persee bado utakutana na mistari inayo kukumbusha kujiepusha na ukimwi.

Mfano ukimsikiliza Feruzi kwenye Jirushe unakutana na verse ya Jay Moo anakwambia " hapa hakuna demu wa kwenda nae nyama KWA nyama"

Kule unamsikia Artist mwingine anakwambia " unaringa umepima"

Huku unawasikia University Corner wanakwambia " Sipendi kuona mtu chini anavaa Kinga halafu juu kavukavu anakula denda, hivi hujistukii kuomba condom za ulimi hujui ukimwi jiweza kupenya hata kinywani"

Huku ukienda kwenye ngoma ya Babuu Kimbia unakutana na verse ya Mox anakwambia " Kimbia maana hata virusi wanaweza kukuletea"


Ukienda kwenye TV unakutana na.igizo la Kaole kulikuwa na mdada anaitwa Bupe , huyu Bupe aliigiza kama muathirika wa ukimwi. Alionyesha mateso ya mwathirika.

Siku ya alhamisi unamsikia mama terry na nasaha zake dhidi ya ukimwi.


Lakini leo hii vijana Tanzania imewatenga kwenye malezi kupitia muziki.

Muziki unao pewa nafasi ni amapiano/singeli au muziki ambao una promote mmomonyoko wa maadili.

Ukimwi hauzungumziwi kabisa ila yanakuwa promoted matendo ambayo huwaweka vijana kwenye hatari ya maambukizi ya ukimwi.


Mfano :

1.Demu wangu ana danga.

2. Na nyimbo nyingine kibao I don't even want to mention them hapa.

vijana wa sasa wanaona SAWA kufanya yale yanasoemwa kwenye hizo nyimbo ili waweze ku fit in na wenzao.

In process wanapata v.v.u

Mama Ongea na BASATA.


1. WAPIGE MARUFUKU AMAPIANO AU

2. WAWEKE SHERIA KALI ILI WIMBO UPIGWE IWE NI AMAPIANO /SINGELI AU HIPHOO NI LAZIMA UWE NA MAADILI MAZURI. UTOE UJUMBE MZURI KWA JAMII.


BORA TURUDI KAMA ENZI ZA RTD AMBAKO NYERERE ALIZISIKILIZA KWANZA NYIMBO KABLA YA KUPIGWA REDIONI.

SO TUKAWA NA NYIMBO KAMA " migogoro na migongano makazini ni ukosefu wa nidhamu"


" Naona bora niende zambia nikamtafute Monica "

Etc
 
Uzi wako hakika uko poa sana, shaka yangu ni kama utapata wachangiaji.

Maana ushetani(ushoga, taarifa za vifo na mauaji, ulawiti,na mzahamzaha) ndivyo watanzania hupenda kushabikia. Ni mtazamo wangu kutokana na ninavyoona hapa JF!
 
Uzi wako hakika uko poa sana, shaka yangu ni kama utapata wachangiaji.

Maana ushetani(ushoga, taarifa za vifo na mauaji, ulawiti,na mzahamzaha) ndivyo watanzania hupenda kushabikia. Ni mtazamo wangu kutokana na ninavyoona hapa JF!
Upo sahihi mkuu
 
Mnataka kutuletea swaga za kigaidi ndio huwa mnaanzaga hivi hivi.

Kama unataka nature i amue basi hata huko kwenye mziki acha iamue.

Na pia kwani lazima binti au kijana akibalehe aanze kuzaa na kuolewa/kuoa mbona una akili finyu sana..

Hayo unayoyataka nashauri kayafanye kwako na familia yako.

Usitake kupangia watu maisha kwa illusion zako za kidini.

Bila hiyo western education hata huu ujinga ulioandika na kuupost humu usinge weza..mana usingejua kusoma na kuandika..usingeweza kununua na kumilika na kutumia smartphone..usiturudishe zama za ujima...bomo is not haramu ndio way of life.

#MaendeleoHayanaChama
 
wanaopata ukimwi asilimia kubwa sehemu za uswahilini na disco vigodoro.
wewe unatalijia kama maeneo ya kimboka,sudan,buguruni,tandale,kinondoni,mwananyamala maambukizi yatapungua.

mziki wa taarabu ushakwenda kuona yaliyomo.familia duni ndio waathilika wakubwa na tamaa za mabinti .
 
Uko sahihi Kwa % kubwa,,nyimbo kama ukikutana na ex wako unampakia mkoongooo* ukipata danga la kizungu nenda nalo Kwa mparange*** hakika inaondoa maadiri kabisa ya vijana wa Sasa hasa under 24
Nyimbo za singeli ndio zianze kupigwa marufuku..sambamba na nyimbo za wcb.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sheikh Mohamed Yusuf alitaka waafrika turudi katika uasili wetu, turuhusu nature I dictate maisha yetu. Nature is nothing but the will of God. The will of God to humans has been stamped in the nature. God talks to humans through nature.
Anataka uasili wa Afrika na bado anajiita sheikh. Ni upuuzi
 
Uko sahihi Kwa % kubwa,,nyimbo kama ukikutana na ex wako unampakia mkoongooo* ukipata danga la kizungu nenda nalo Kwa mparange*** hakika inaondoa maadiri kabisa ya vijana wa Sasa hasa under 24
Nakazia mkuu
 
Mnataka kutuletea swaga za kigaidi ndio huwa mnaanzaga hivi hivi.

Kama unataka nature i amue basi hata huko kwenye mziki acha iamue.

Na pia kwani lazima binti au kijana akibalehe aanze kuzaa na kuolewa/kuoa mbona una akili finyu sana..

Hayo unayoyataka nashauri kayafanye kwako na familia yako.

Usitake kupangia watu maisha kwa illusion zako za kidini.

Bila hiyo western education hata huu ujinga ulioandika na kuupost humu usinge weza..mana usingejua kusoma na kuandika..usingeweza kununua na kumilika na kutumia smartphone..usiturudishe zama za ujima...bomo is not haramu ndio way of life.

#MaendeleoHayanaChama

Maandishi yameanzia Afrika
 
Hiii nyimbo ya buza kwa mparange imepelekea vjna wengi kuharibika kuhusiana na suala hilo
Na pia staili za mavazi za wasanii wetu wanavaa kishoga ijapokuwa wao c mashoga kwa hyo imepelekea watoto wengi kuona ndio mtindo wa maisha dume mzima unaweka heleni au unavaa kikuku unavaa sketi Cheni c kuhamasisha ushoga huko maana hapo kilicho baki kufilwa tu vyote unavyo uga ni vya kike haw wasanii wamehasisha na wanahamasisha ushoga nchini
Ndio maana binafsi yangu nachukia sana hii miziki yao ndani mwangu maana mwanangu hakuna anachojifunza zaidi ya kuharibu akili yake
Mtu kama joti anavaa mpaka wigi lenye rangi za upinde hatari sana hawa wasanii ni maagenti wa kubwa wa mashoga
Tukitaka jamii irudi kwa maadili kwanz uwa wasanii muziki ya kihuni pili wadangaji wanaojifanya bongo muvi mm sijamuona bongo muvi ambaye hauzi k hayupo never ever forever


Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
 
Haya mapendekezo ya umri mdogo wa kuolewa hayafai, yanaendekeza wapenda ngono kutoka kwa watoto.

Kupevuka sio kuota nyonyo, kupata hedhi na kumwaga manii tu. Haya ni mambo ya nje ya kingono na ni sehemu ndogo sana ya kupevuka.

Mfano: Hawa madaktari wa kike wanaowatibu na kuwafanyia operation mngewapata wapi kama mngewaoza na miaka 14? Waalimu? Rubani?
Kama walichelewa mbona wapo wenye ndoa na wana watoto?
 
Nyimbo za kupigwa marufuku ni singeli , vigoma vile vya chura,vibao kata .Kuanzia ijumaa mpaka j.pili ukifika maeneo ya buza,gongo la mboto,mbagala,temeke ni Kama umeingia dunia nyingine sio watoto sio wakubwa ni shida tupu.
 
Back
Top Bottom