Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona zwazwa hili!! Toa ushamba wako wa kusukuma hapa.Mnataka kutuletea swaga za kigaidi ndio huwa mnaanzaga hivi hivi.
Kama unataka nature i amue basi hata huko kwenye mziki acha iamue.
Na pia kwani lazima binti au kijana akibalehe aanze kuzaa na kuolewa/kuoa mbona una akili finyu sana..
Hayo unayoyataka nashauri kayafanye kwako na familia yako.
Usitake kupangia watu maisha kwa illusion zako za kidini.
Bila hiyo western education hata huu ujinga ulioandika na kuupost humu usinge weza..mana usingejua kusoma na kuandika..usingeweza kununua na kumilika na kutumia smartphone..usiturudishe zama za ujima...bomo is not haramu ndio way of life.
#MaendeleoHayanaChama
Ni maoni yake, ila naomba kuuliza tu mtazamo wake kuhusu elimu ya huyo mtoto wa kike, je elimu yake itakuwa imeishia hapo akibalehe?Uzi wako hakika uko poa sana, shaka yangu ni kama utapata wachangiaji.
Maana ushetani(ushoga, taarifa za vifo na mauaji, ulawiti,na mzahamzaha) ndivyo watanzania hupenda kushabikia. Ni mtazamo wangu kutokana na ninavyoona hapa JF!
Fafanua vzr mfumo wa elimu utakavyoendeshwa kwa hao wake za watuKuolewa mapema hakuwezi kumzuwia mtu kusoma tatzo lako umekaririshw kwamba ukiolewa ndio basi tena kama mtu anaolewa na akaendelea na kufanya biashara yake ya mama nitilie sokoni au kuuza duka anashindwa je mtu kama huyo kutoweza kusoma hapo msingi ni kutengeneza mfumo ambao mtu alieolew hauwezi mbana majukumu ya familia na ndoa tembea uone Msumbiji tu hapo mtu anatoka nyumbani na mimba au na mtoto mgongoni anaenda shule na anafanya vzr darasani tu je hakuna wasomi wa kike
Nchi kama saudia unatak kunambia hakuna wasomi wa kike kwa vile wanaolewa mapema
Mm sioni tofauti kusoma na kutafuta maisha sokoni kama mwanamke alieolew anaweza kwenda dukani kwake kuuza akiwa na ndoa yake hawezi shindwa kwenda shule na kusom
Shida mumejaririshw na elimu za kimagharibi kiasi kwamba uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo huwazi nje ya mawaz ya mzungu namkubali sana jpm
Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
Wewe uliyekaririshwa elimu ya madrasa umelisaidia nini taifa hili.??Kuolewa mapema hakuwezi kumzuwia mtu kusoma tatzo lako umekaririshw kwamba ukiolewa ndio basi tena kama mtu anaolewa na akaendelea na kufanya biashara yake ya mama nitilie sokoni au kuuza duka anashindwa je mtu kama huyo kutoweza kusoma hapo msingi ni kutengeneza mfumo ambao mtu alieolew hauwezi mbana majukumu ya familia na ndoa tembea uone Msumbiji tu hapo mtu anatoka nyumbani na mimba au na mtoto mgongoni anaenda shule na anafanya vzr darasani tu je hakuna wasomi wa kike
Nchi kama saudia unatak kunambia hakuna wasomi wa kike kwa vile wanaolewa mapema
Mm sioni tofauti kusoma na kutafuta maisha sokoni kama mwanamke alieolew anaweza kwenda dukani kwake kuuza akiwa na ndoa yake hawezi shindwa kwenda shule na kusom
Shida mumejaririshw na elimu za kimagharibi kiasi kwamba uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo huwazi nje ya mawaz ya mzungu namkubali sana jpm
Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
Huyo Sheikh Mohamed Yusuf jina lake la asili ni nani km alitaka wanaijeria warudi kwenye asili yao?Alitazame na hili
Hii nchi masikini sana ndiyo maana kuna mambo km hayo. Watu hawana kazi wafanyaje?Nyimbo za kupigwa marufuku ni singeli , vigoma vile vya chura,vibao kata .Kuanzia ijumaa mpaka j.pili ukifika maeneo ya buza,gongo la mboto,mbagala,temeke ni Kama umeingia dunia nyingine sio watoto sio wakubwa ni shida tupu.
Umeshiba kitu gani hoja zake ni za watu waliowaka tamaa za ngono.Utashambuliwa lakini uzi wako umeshiba.
Binti aolewe na aendelee na shule.Haya mapendekezo ya umri mdogo wa kuolewa hayafai, yanaendekeza wapenda ngono kutoka kwa watoto.
Kupevuka sio kuota nyonyo, kupata hedhi na kumwaga manii tu. Haya ni mambo ya nje ya kingono na ni sehemu ndogo sana ya kupevuka.
Mfano: Hawa madaktari wa kike wanaowatibu na kuwafanyia operation mngewapata wapi kama mngewaoza na miaka 14? Waalimu? Rubani?
Kama walichelewa mbona wapo wenye ndoa na wana watoto?
Watz ni akili ndogo walio wengi.Kuolewa mapema hakuwezi kumzuwia mtu kusoma tatzo lako umekaririshw kwamba ukiolewa ndio basi tena kama mtu anaolewa na akaendelea na kufanya biashara yake ya mama nitilie sokoni au kuuza duka anashindwa je mtu kama huyo kutoweza kusoma hapo msingi ni kutengeneza mfumo ambao mtu alieolew hauwezi mbana majukumu ya familia na ndoa tembea uone Msumbiji tu hapo mtu anatoka nyumbani na mimba au na mtoto mgongoni anaenda shule na anafanya vzr darasani tu je hakuna wasomi wa kike
Nchi kama saudia unatak kunambia hakuna wasomi wa kike kwa vile wanaolewa mapema
Mm sioni tofauti kusoma na kutafuta maisha sokoni kama mwanamke alieolew anaweza kwenda dukani kwake kuuza akiwa na ndoa yake hawezi shindwa kwenda shule na kusom
Shida mumejaririshw na elimu za kimagharibi kiasi kwamba uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo huwazi nje ya mawaz ya mzungu namkubali sana jpm
Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
Unawajua wasukuma wewe?.Tena vibinti vidogo vinajifungulia nyumbani kabisa na siyo hospitali.Kwenye hili la kuolewa na umri mdogo naona mkuu umechemka,umeshawahi kufuatilia mabinti wa kimasai ambao wana hiyo mila kabinti kakifika tu 12 au 13 kanaoelewa,sasa fanya reseach utakuja kuniambia hapa,vingi vinapata ujauzito na ngoma ipo kwenye kujifungua,vingi kwakuwa vinakuwa havijatanuka pelvic girdles kiasi cha kutosha vinaishia kushindwa kuzaa,kupoteza damu nyingi na mwishoe kufa,ni wachache wanaowahishwa hopitali ndio wanafanikiwa kuzaa salama...
Wasukuma wanapoweza himili,wao huwa si binadamu?.Watu malaya malaya utawajua tu kwa mawazo yao, yaani binti aolewe akiwa na miaka 14 kisa kavunja ungo! Huyo binti anaweza kuhimili maisha ya ndoa?
Mawazo hovyo kabisa!
Kupeleka binti wa miaka 12 kwa mume ni akili?Watz ni akili ndogo walio wengi.
Na wewe ni msukuma?Wasukuma wanapoweza himili,wao huwa si binadamu?.