Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

Kuolewa mapema hakuwezi kumzuwia mtu kusoma tatzo lako umekaririshw kwamba ukiolewa ndio basi tena kama mtu anaolewa na akaendelea na kufanya biashara yake ya mama nitilie sokoni au kuuza duka anashindwa je mtu kama huyo kutoweza kusoma hapo msingi ni kutengeneza mfumo ambao mtu alieolew hauwezi mbana majukumu ya familia na ndoa tembea uone Msumbiji tu hapo mtu anatoka nyumbani na mimba au na mtoto mgongoni anaenda shule na anafanya vzr darasani tu je hakuna wasomi wa kike
Nchi kama saudia unatak kunambia hakuna wasomi wa kike kwa vile wanaolewa mapema
Mm sioni tofauti kusoma na kutafuta maisha sokoni kama mwanamke alieolew anaweza kwenda dukani kwake kuuza akiwa na ndoa yake hawezi shindwa kwenda shule na kusom
Shida mumejaririshw na elimu za kimagharibi kiasi kwamba uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo huwazi nje ya mawaz ya mzungu namkubali sana jpm

Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
hiyo mada yake ni nzuli watu wamichukia pale alipo sema saudia na na kutaja uwisilamu hapo sasa ndipo chuki ilipo amka,ukweli wamemuelewa ila wanajitoa akili
 
Wewe ndo umekariri kuwa nje ya mawazo ya mwarabu basi ni mawazo ya mzungu, unasahau kuna mawazo ya mswahili aliye huru kifikra kama mimi mwenye watoto wa kike wanaofanikiwa na wanafanikiwa sababu baba yao nilifanya maamuzi sahihi kuwalea na kuwakuza wakaelewa wanatakiwa kufanya nini ili wasikiuke tamaduni za familia na ukoo wangu.

Wewe wa kwako peleka waolewe na miaka 12 ila si hapa Tanganyika maana tutakufunga wewe na muoaji tukikupata.
hiyo chukiiiii mtu katoa mawazo yake wewe unaweseka utaugua ugonjwa wa moyo bule
 
Kwenye hili la kuolewa na umri mdogo naona mkuu umechemka,umeshawahi kufuatilia mabinti wa kimasai ambao wana hiyo mila?kabinti kakifika tu 12 au 13 kanaoelewa,sasa fanya reseach utakuja kuniambia hapa,vingi vikipata ujauzito ngoma ipo kwenye kujifungua,vingi kwakuwa vinakuwa havijatanuka pelvic girdles kiasi cha kutosha vinaishia kushindwa kuzaa,kupoteza damu nyingi na mwishoe kufa,ni wachache wanaowahishwa hopitali ndio wanafanikiwa kuzaa salama...
wewe ndie ulie chemka kwa uelewa wako mdogo katazo la kuziya kuozesha mtoto wa kike akiwa na miaka hiyo limeanza juzi hili wa some wazazi wetu walio wengi zama hizo wakiolewa tu wanapo vunja ungo tena wakizaa vizuli tu pia wapo wamm wazima wanashindwa kujifungua wengine njia ndogo wengine pumzi tatizo akili zetu zakushikiwa
 
Mkuu hili ni andiko inabid tulifikishe kwa mama kama lilivyo

Wazungu wanataka kubadlisha maisha halisi hasa ya huku afirica wakat wao mtoto wa miaka 20 anamafanikio lakin sisi huyu 40years hv ndio unajarbu kuona jua linachomoza kwenye ndoto zako.


Mambo ni mengi sana ,.
 
Nichangie kuhusu mziki

Nyimbo zinahamasisha sana namna ya kuwaza na mtazamo,binafsi nikiwa na situation ngumu yoyote ile, basi huwa naweka playlist ya hip hop za wasanii fulani hivi ambapo najua kuna mistari itanigusa tu na hali yangu,na nikikuta track inayopiga kwenye mshono basi naweka repeat.

Na nikiwa na furaha basi nagonga ngoma za furaha ambazo haziwazishi ili kuisindikiza mood,

Jana nilikua namsikilizia mwanangu kutoka kusini,nikamwambia anikute riveside pale,basi pale kuna balaa la wauza nyapu kibao.wanavyovaa na michubuo basi wanawaka.

Nikaweka ngoma ya jeby ya angekuepo rafiki (kuna mwanangu damu alipata ajali na tuliishi nae mabibo hostel na hapo ilikua mitaa yetu)ikawa inaniremind jambo

Nikaongezea kangoma ka jeby kanaongelea ukimwi sijui mtaa mzima unahofu

Basi hapo wale mademu nikawa nawaona ni wauaji .

MZIKI UNA MCHANGO MKUBWA SANA KIHISIA WAUNGWANA.

KUNA POINTI KUBWA SANA HAPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao watoto wa miaka 14 ndio wanao jiuza chunguza utaona wewe mtoto wa kike kaisha ota mavuzi na kutokwa damu bado huyo mtoto tu
Tamaa inavyokuongoza kutamani watoto kwa kutafuta uhalali mara sijui vuzi sijui damu ndivyo utakavyotafuta sababu ya kuwaingilia wenye umri mdogo zaidi mpaka unajikuta ushanajisi katoto kasicho na mwaka. Hizi kesi zipo.

Sisi sio vichaa kukubaliana kupitia bunge kuwa binadamu aliyepevuka ni kuanzia 18 years.
 
hiyo chukiiiii mtu katoa mawazo yake wewe unaweseka utaugua ugonjwa wa moyo bule
Jikite kwenye kukumbuka kuwa nchi yako inaongozwa na sheria zisizo za kiarabu wala kiitaliano. Na hizi sheria zinakataza kufanya ngono na watoto.
 
Nadhani kwa hali ilivyo sasa hakuna anayeweza kui control,awe Rais au awe nani.Hiki ni Kizazi cha Zinaa na Dhambi.
 
Back
Top Bottom