Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

hiyo mada yake ni nzuli watu wamichukia pale alipo sema saudia na na kutaja uwisilamu hapo sasa ndipo chuki ilipo amka,ukweli wamemuelewa ila wanajitoa akili
 
hiyo chukiiiii mtu katoa mawazo yake wewe unaweseka utaugua ugonjwa wa moyo bule
 
wewe ndie ulie chemka kwa uelewa wako mdogo katazo la kuziya kuozesha mtoto wa kike akiwa na miaka hiyo limeanza juzi hili wa some wazazi wetu walio wengi zama hizo wakiolewa tu wanapo vunja ungo tena wakizaa vizuli tu pia wapo wamm wazima wanashindwa kujifungua wengine njia ndogo wengine pumzi tatizo akili zetu zakushikiwa
 
Mkuu hili ni andiko inabid tulifikishe kwa mama kama lilivyo

Wazungu wanataka kubadlisha maisha halisi hasa ya huku afirica wakat wao mtoto wa miaka 20 anamafanikio lakin sisi huyu 40years hv ndio unajarbu kuona jua linachomoza kwenye ndoto zako.


Mambo ni mengi sana ,.
 
Nichangie kuhusu mziki

Nyimbo zinahamasisha sana namna ya kuwaza na mtazamo,binafsi nikiwa na situation ngumu yoyote ile, basi huwa naweka playlist ya hip hop za wasanii fulani hivi ambapo najua kuna mistari itanigusa tu na hali yangu,na nikikuta track inayopiga kwenye mshono basi naweka repeat.

Na nikiwa na furaha basi nagonga ngoma za furaha ambazo haziwazishi ili kuisindikiza mood,

Jana nilikua namsikilizia mwanangu kutoka kusini,nikamwambia anikute riveside pale,basi pale kuna balaa la wauza nyapu kibao.wanavyovaa na michubuo basi wanawaka.

Nikaweka ngoma ya jeby ya angekuepo rafiki (kuna mwanangu damu alipata ajali na tuliishi nae mabibo hostel na hapo ilikua mitaa yetu)ikawa inaniremind jambo

Nikaongezea kangoma ka jeby kanaongelea ukimwi sijui mtaa mzima unahofu

Basi hapo wale mademu nikawa nawaona ni wauaji .

MZIKI UNA MCHANGO MKUBWA SANA KIHISIA WAUNGWANA.

KUNA POINTI KUBWA SANA HAPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao watoto wa miaka 14 ndio wanao jiuza chunguza utaona wewe mtoto wa kike kaisha ota mavuzi na kutokwa damu bado huyo mtoto tu
Tamaa inavyokuongoza kutamani watoto kwa kutafuta uhalali mara sijui vuzi sijui damu ndivyo utakavyotafuta sababu ya kuwaingilia wenye umri mdogo zaidi mpaka unajikuta ushanajisi katoto kasicho na mwaka. Hizi kesi zipo.

Sisi sio vichaa kukubaliana kupitia bunge kuwa binadamu aliyepevuka ni kuanzia 18 years.
 
hiyo chukiiiii mtu katoa mawazo yake wewe unaweseka utaugua ugonjwa wa moyo bule
Jikite kwenye kukumbuka kuwa nchi yako inaongozwa na sheria zisizo za kiarabu wala kiitaliano. Na hizi sheria zinakataza kufanya ngono na watoto.
 
Nadhani kwa hali ilivyo sasa hakuna anayeweza kui control,awe Rais au awe nani.Hiki ni Kizazi cha Zinaa na Dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…