kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Leo kulikua ma msafara wa mheshimiwa Rais Dr Samia ulikua unapita barabara ya Morogoro Road kuelekea maeneo ya Kibaha huko, cha ajabu sisi raia tunaotumia huduma za usafiri za mwendokasi tukazuiwa kupanda lile daraja la mwendokasi pale Kimara kwa kile tulichoambiwa na wana usalama pale waliokua eneo la tukio kuwa wanahofia wananchi wasije wakalipiga mawe gari la Rais Samia.
Sasa kama unasifiwa ndani na nje kuwa unaupiga mwingi kwa nini uwe na hofu na wapiga kura wako? Mbona pamoja na mabaya yanayosemwa kumhusu mtangulizi wako lakini haijawahi kutokea hali ya uoga kama hii yako wewe unaesifiwa kuwa ni Rais mwema?