Unafiki gani sasa, niambie lini watangulizi wake wamewahi kutumia barabara ya morogoro Road halafu raia wakazuiwa kutumia madaraja ya mwendokasi?Hayo ni yako mkuu,umeandika kinafki kweli? Sema nn mi nachojua boss ni boss tu hata humkejeli vip lazima Ngoma ikae
Magufuli alikuwa anasolimama na kugawa pesa kila anapoona halaikiWaweza kuwa una point ya kuzuiana kutumia barabara wakati wa misafara ila umeharibu kabisa kusema eti wakati wa mtangulizi wake hawakuzuia. Aisee kuna mtu alikuwa muoga wa halaiki na alikuwa na ulinzi kama huyo bwana mtangulizi? Ni nani alianzisha maulinzi kuogopa wapiga kura wake kama sio bwana mtangulizi?
Wakati watu wanalalamika kipindi kile mlikuwa mstari wa mbele kutetea kwa hoja za kizembe kabisa kuwa 'mnadhani huyu ni mwenzenu atembee bila ulinzi' au ' anakomesha mafisadi na mabeberu watamdhuru' sasa kwani mama Samia hawezi kudhuriwa na hao anaowakomesha?
Tulieni dawa iingie, mkiruka ruka sindano itavunjikia ndani
Huyo [emoji117][emoji90] hakuna anaye mkubali zaidi ni mafisadi tu ...yeye mwenyewe anajua vizuri huu ukweli ...ndiyo maana nasema sijui kama atachukua fomu kugomea maana kashi kashi za kampeni ni hatari kuliko kusafiri na gariLeo kulikua ma msafara wa mheshimiwa Rais Dr Samia ulikua unapita barabara ya morogoro Road kuelekea maeneo ya Kibaha huko, cha ajabu sisi raia tunaotumia huduma za usafiri za mwendokasi tukazuiwa kupanda lile daraja la mwendokasi pale kimara kwa kile tulichoambiwa na wana usalama pale waliokua eneo la tukio kuwa wanahofia wananchi wasije wakalipiga mawe gari la Rais Samia.
Sasa kama unasifiwa ndani na nje kuwa unaupiga mwingi kwa nini uwe na hofu na wapiga kura wako? Mbona pamoja na mabaya yanayosemwa kumhusu mtangulizi wako lakini haijawahi kutokea hali ya uoga kama hii yako wewe unaesifiwa kuwa ni Rais mwema?
ILa hamzidi yule mzalendo na kipenz cha watu lkn kulikua na amoured car, makomandoo, usalama kila kona, walinzi wake na bado helicopter ikirandaranda angani π€£π€£π€£. Hapo ni kipenz cha watu na mzalendo je ingekua hapendwi?Leo kulikua ma msafara wa mheshimiwa Rais Dr Samia ulikua unapita barabara ya Morogoro Road kuelekea maeneo ya Kibaha huko, cha ajabu sisi raia tunaotumia huduma za usafiri za mwendokasi tukazuiwa kupanda lile daraja la mwendokasi pale Kimara kwa kile tulichoambiwa na wana usalama pale waliokua eneo la tukio kuwa wanahofia wananchi wasije wakalipiga mawe gari la Rais Samia.
Sasa kama unasifiwa ndani na nje kuwa unaupiga mwingi kwa nini uwe na hofu na wapiga kura wako? Mbona pamoja na mabaya yanayosemwa kumhusu mtangulizi wako lakini haijawahi kutokea hali ya uoga kama hii yako wewe unaesifiwa kuwa ni Rais mwema?
Tz viongonzi wanajazwa hofu na watu flani Ili wapige pesa, ni hofu hii rais wa Zambia walitaka mjazia ila mwamba akaishinda,Leo kulikua ma msafara wa mheshimiwa Rais Dr Samia ulikua unapita barabara ya morogoro Road kuelekea maeneo ya Kibaha huko, cha ajabu sisi raia tunaotumia huduma za usafiri za mwendokasi tukazuiwa kupanda lile daraja la mwendokasi pale kimara kwa kile tulichoambiwa na wana usalama pale waliokua eneo la tukio kuwa wanahofia wananchi wasije wakalipiga mawe gari la Rais Samia.
Sasa kama unasifiwa ndani na nje kuwa unaupiga mwingi kwa nini uwe na hofu na wapiga kura wako? Mbona pamoja na mabaya yanayosemwa kumhusu mtangulizi wako lakini haijawahi kutokea hali ya uoga kama hii yako wewe unaesifiwa kuwa ni Rais mwema?
Ulikuwa umefungiwa unaliwa na AmsterdamAcha kujitoa akili wee mkolomije, wakat alikua anazungukwa na wana usalama, walinz wake, makomandoo na bado lile amoured car!! Huku helicopter ikirandaranda angani
Hata lile la kukubutua huwezi kumkumbuka?Team Legacy tambueni JIWE kafa na kaoza...hana lolote la kukumbukwa.
Kumbutua mama yako?Hata lile la kukubutua huwezi kumkumbuka?
Yaani...wamesema, " wanahofia wananchi wasije wakalipiga mawe gari la Rais!" Yaani kabisa walisema hivi kwa kipaza sauti kwa abiria wote au walikueleza wewe pekeako? Weewe jamaa muongo sana! πππLeo kulikua ma msafara wa mheshimiwa Rais Dr Samia ulikua unapita barabara ya Morogoro Road kuelekea maeneo ya Kibaha huko, cha ajabu sisi raia tunaotumia huduma za usafiri za mwendokasi tukazuiwa kupanda lile daraja la mwendokasi pale Kimara kwa kile tulichoambiwa na wana usalama pale waliokua eneo la tukio kuwa wanahofia wananchi wasije wakalipiga mawe gari la Rais Samia.