Rais Samia, punguza uoga kwa walipa kodi wako, hakuna mwenye mpango wa kukudhuru

Mbona hujaweka number ya simu kama kawaida yako? We jamaa kwa post zako na comment zako kwa kukudhania tuu utakuwa unavalia suruali juu ya kifua kama huyu mwamba chini[emoji116][emoji116]
 
Duh.! Ila we jamaa
 
Jitahidi jina lako tulipeleka kwenye wakuu wa wilaya likakataliwa. Ila usichoke bado tunakupambania.
 
Ila kusema ukweli hata akipita hapo naona kawaida hana mvuto, halafu yule fundi wake aache kumvalisha MAOVERALL, atafute mbunifu mzuri
 
ILa hamzidi yule mzalendo na kipenz cha watu lkn kulikua na amoured car, makomandoo, usalama kila kona, walinzi wake na bado helicopter ikirandaranda angani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hapo ni kipenz cha watu na mzalendo je ingekua hapendwi?
Adui wa yule walikuwa ni mafisadi papa na mabeberu ndiyo sababu ila kwa huyu ajuza adui zake wakubwa ni wazalendo na masikini
 
Hebu jaribu kuiangaisha akili yako kidogo, yeye mhe.Rais alikuwepo kuzuia hao wananchi? Na yeye anapangiwa pa kupita.
 
Sasa hapa aliyekuambia kuwa ana hofu Samia au usalama? Mbn unamlisha maneno Rais wetu!!!
 
Ili upate mafanikio epuka kutumia neno mbona ..
 
Kwa hiyo na wewe ukaamini hiyo chai uliyonyweshwa na hao wanausalama..........yaani wewe mwenzangu na mimi upewe details za kiusalama zinazohusu msafara wa rais, jiongeze mkuu.
 
Adui wa yule walikuwa ni mafisadi papa na mabeberu ndiyo sababu ila kwa huyu ajuza adui zake wakubwa ni wazalendo na masikini
Ondoa ujinga akilin mwako, fisadi papa yupi alifungwa gerezani? Kamwe asingeweza uadui na beberu ambalo unalitegemea kwa misaada mingi. Kupambana na beberu kunahitaji akili san na sio maguvu watakuvua nguo zote ubaki uchi!! Kuna mzalendo nchi hii? Yaan mliwa brainwash watanzania et wazalendo 🤣🤣🤣🤣.
 
Huyo mtangulizi si ndiye aliyeleta magari ya miantena sijui ya kutegua mabomu na kuzuia mawasiliano eneo alilopo na hata ikulu kuingia ilikuwa kama unataka kuingia mbinguni na ile barabara ya ocean road wakaifunga yote ilikuwa kwa sababu ya uoga wa huyo mtangulizi.
 
Anaogopa kuulizwa Bei ya Mchele maana inaelekea 4,000/=.per 1kg.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…