Rais Samia: Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa zaidi ya siku tatu

Da! mkuu mbona unachafua hali ya hewa kiasi hiki. Wacha niende zangu alafu nirudi tutaelewana tu humu ndani
 
Acheni kumchuria Nyerere. Nyerere ni kusikia jina lake tu?

Nani unalinganisha na Nyerere wewe? Huyu anayerukwa kimanga na wateule wake, kina Gambo?

Nyerere akae nyumbani wapi?

Nyumba hizi alizojengewa na JWTZ baada mno ya kustaafu?
Kama hujui bora unyamaze. Mwalimu Nyerere alikaa kwenye nyumba yake Msasani muda mwingi wa uraisi wake.
 
Kama aliyosema mama leo ndiyo ukweli wenyewe basi pongezi sana mama Samia kwa kuzingatia maadili, taratibu na sheria.
Jambo jema ila siku ikatokea akakaa sehemu zaidi ya siku hizo asisahau kusema sababu ya kuzidisha siku, turejee ya wale wanasiasa wawili, mmoja alisema mwaka 2015 kama sijakosea sana "Kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki, basi CCM ijiandae kuachia Ikulu" mwingine akasema "nafasi niliyopewa ni kubwa sana nikipewa nyingine sitokubali kabisa". na wote wawili walikula viapo
 
Na nyumba hiyo alijenga kwa mkopo toka serikalini

..niliwahi kusikia toka kwa watu wa serikali kwamba nyumba ya mwalimu ya msasani ilichukuliwa na serikali kabla mwalimu hajamaliza kulipa mkopo.
 
..niliwahi kusikia toka kwa watu wa serikali kwamba nyumba ya mwalimu ya msasani ilichukuliwa na serikali kabla mwalimu hajamaliza kulipa mkopo.
Kuna video yeye Mwenyewe Mwl Nyerere alisema alishindwa kulipa deni akaamua kuirudisha nyumba serikalini, lakini baadaye serikali ikamsamehe deni lake
 
Dodoma kuna Ikulu, Dar kuna Ikulu
Mikoa yote ina ikulu mkuu, Na Rais kama Mkuu wa Nchi anaweza kutekeleza Majukumu yake popote pale ndani ya nchi, Hapo hao watu wa Mwanza wamenangwa,

Sababu za Rais kutokukaa sehemu kwa Zaidi ya Siku tatu nje ya Ofisi zake labda ziwe kiusalama tu mana hio Area inakuwa haiko well protected on daily basis kama state house Chamwino ambapo measures nyingi ziko imposed na restrictions kwa vitu kama Anga tayari vinakuwa placed
 

Ulipata wasaa wa kumsikiliza au umeona uandike mawazo yako tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…