Rais Samia: Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa zaidi ya siku tatu

Magufuli alikuwa anauguza Mama mzazi ifahamike hilo. Nawasilisha

Hii ya kwako ya leo ni mpya zaidi kuliko zote:

"Kumbukumbu zingali hai kwani si zamani tulipoaminishwa katika awamu ile kuwa rais anaweza kuweka kambi popote na kazi ikaendelea bila ukomo!"

Swali la msingi:

"Hizi sheria au taratibu ni mpya zilizoanza baada ya awamu ya sita kuingia ofisini au ndiyo ilivyo ila ilikuwa kupigana ma-changa ya macho?"
 
Kwa mamlaka ya Rais aweza kuamua vinginevyo sheria zipo na zitakuwepo, diversity ndio msingi. Kwamba alikuwa anauguza mama ndio hoja ya msingi na transitionally there could have been other factors governing the circumstances periodically.
 
Ni Protocol tu za kuendesha na suala ulinzi akiwa ziarani....zingatiaTanzania ni kubwa pia na mambo ya protocol....
Hakuna shida ...kama ziara siku 3 inatosha
 
Kwa mamlaka ya Rais aweza kuamua vinginevyo sheria zipo na zitakuwepo, diversity ndio msingi. Kwamba alikuwa anauguza mama ndio hoja ya msingi na transitionally there could have been other factors governing the circumstances periodically.

Hoja ya msingi hapa hatukuwahi kuambiwa haya ya kuuguza bali ya KUPIGA kambi popote.

Hoja yako ya kuuguza leo, huoni kuwa ni mpya haina tofauti na ile ya msikitini kuwa mheshimiwa alikuwa akipiga kazi kumbe mahututi kitandani?

Wewe huoni hivyo?
 
Awamu ya tano ilikuwa ya aina yake.

Alikuwa fyatu na wengi hata wenye akili zao wakatanguliza matumbo yao. Ikawa ni kupigana vikumbo kushindana kuilsifia hata visivyopaswa.

Rejea:

Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu fyatu ni punguani, mwenda wazimu, mwenye akili zisizomtosha, chizi, asiye simile, asiye subira wala hekima.

Kwa maneno mengine kwamba akiwa na faili mirembe kama Jobo ingependeza zaidi.

Hiiiiii bagosha!
Binafasi nilikuwa napinga sana hili la tunataka "dikteta mzuri", wenyewe wanaita "benevolent dictator". Hakuna kitu kama hicho, dikteta ni dikteta tu. Kama una jambo zuri la kuwafanyia Watanzania, ongea nao washawishi watakupa ridhaa..... lakini ya kujifanyia jambo lolote unalotaka eti umesakrifaisi maisha yako kwa ajiri yetu sio sawa.
 
Kwani lockdown ya kule chato ilikuwa inachukua muda gani? na hapa dalisalama huwa tunakaa siku ngapi kabla ya kurudi idodomya....
 
Mabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo.

Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria hazimruhusu kukaa zaidi ya siku 3 katika mkoa mmoja.

Bila shaka akimaanisha kukaa siku 3 mkoani nje ya ofisi rasmi za Magogoni au Chamwino:

View attachment 1819828

Hizi sheria au taratibu ni mpya zilizoanza baada ya awamu ya sita kuingia ofisini au ndiyo ilivyo ila ilikuwa kupigana ma-changa ya macho?

Kumbukumbu zingali hai kwani si zamani tulipoaminishwa katika awamu ile kuwa rais anaweza kuweka kambi popote na kazi ikaendelea bila ukomo!

Kama aliyosema mama leo ndiyo ukweli wenyewe basi pongezi sana mama Samia kwa kuzingatia maadili, taratibu na sheria.

Unatudhihirishia kwa vitendo kuwa unayo nia ya dhati ya kuhakikisha kuwa wewe kama tunavyowajibika sote kwa mujibu wa sheria wewe kama rais siyo exceptional.

Hongera sana mama Samia kwa kuzingatia utawala wa sheria kazi inapoendelea!
meko alikuwa anakaa chatu miezi mingapi
 
Ha ha ha!
Imekaa vizuri.

Ndugu mjumbe magogoni ulipata kupasikia?

IMG_20210616_101304_007.jpg
 
Mabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo.

Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria hazimruhusu kukaa zaidi ya siku 3 katika mkoa mmoja.

Bila shaka akimaanisha kukaa siku 3 mkoani nje ya ofisi rasmi za Magogoni au Chamwino:

View attachment 1819828

Hizi sheria au taratibu ni mpya zilizoanza baada ya awamu ya sita kuingia ofisini au ndiyo ilivyo ila ilikuwa kupigana ma-changa ya macho?

Kumbukumbu zingali hai kwani si zamani tulipoaminishwa katika awamu ile kuwa rais anaweza kuweka kambi popote na kazi ikaendelea bila ukomo!

Kama aliyosema mama leo ndiyo ukweli wenyewe basi pongezi sana mama Samia kwa kuzingatia maadili, taratibu na sheria.

Unatudhihirishia kwa vitendo kuwa unayo nia ya dhati ya kuhakikisha kuwa wewe kama tunavyowajibika sote kwa mujibu wa sheria wewe kama rais siyo exceptional.

Hongera sana mama Samia kwa kuzingatia utawala wa sheria kazi inapoendelea!
Mbona mwendazake alihamisha kabisa hata ofisi ikawa Chato?
 
1623901616065.png

ITV wanajaribu kusafisha kauli ya Rais ili ilete maana.

Rais akiwa Mwanza ametamka anamshukuru Hayati Magufuli. Wote tumemsikia.

ITV wameona that is ridiculous, huwezi kumshukuru mtu kafa.

Kwa hiyo wamebadiliaha wamesema Rais kasema anaishukuru awamu ya tano.

Wanatufanya wajinga hatuku note alichosema Rais.

Rais na waandishi wake wa speech wamechemka. Ambacho ni kwenye kila speech ya Samia.
 
View attachment 1821180

Si uanzishe uzi badala ya kudandia treni kwa mbele?

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom