Rais Samia: Rais haruhusiwi kukaa mkoa mmoja kwa zaidi ya siku tatu

Miongon mwa maiblis wapo majin na binaadamu,so yule alielaaniwa alikuwa jini na hawa wengne ni watu
Point ni kwamba Ibilisi hadi kalaaniwa na Mungu na kajipa kazi ya kuwapotosha watu ila bado Mungu anamuweka hai hadi sasa hajamchoka.
 
Muulize
Dar anakaa siku ngapi zaidi ya Dodoma makao makuu?

Huyo kaishaishiwa
Ikulu ya Dodoma haijakamilika. Mwendazake alikuwa anaishi Dodoma na Chato kiubishi. Mama Samia hataki mambo ya ubishi. Siyo tabia nzuri
 
Mwendazake alikua anajifungia Chato hata mwezi mzima nakumbuka alimuapisha Mwigulu uani kwake pale Chato.
Mpaka sasa hakuna aliyethubutu kuvunja record ya Mwigulu kula kiapo cha uwaziri uani, tena kwenye viti vya Coca-Cola.
 
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu, ubishi ni kujifanya mjuaji, kutojua hujui, kukosa busara, kutokuwa msikivu, kuwa na gubu, kutokufuata taratibu, kutumia mabavu.

Makubwa!
 
Mwendazake alikua anajifungia Chato hata mwezi mzima nakumbuka alimuapisha Mwigulu uani kwake pale Chato.
Mpaka sasa hakuna aliyethubutu kuvunja record ya Mwigulu kula kiapo cha uwaziri uani, tena kwenye viti vya Coca-Cola.

Itoshe kusema: Hiiiiii bagosha!
 
Ninavyojua, ikulu ya Dodoma haijakamilika kujengwa. Magu aliwalazimisha mawaziri wahamie kwenye mapagale, naye alikuwa tayari kuishi sehemu kama hizo ili kusimamia kauli yake kuhamia Dodoma. Ikulu ya Dar es Salaam ina hadhi yake, siyo kama ikulu ya Chato. Hata Magu alikuwa anashuttle kati ya Dar na Dodoma. Ukiongelea "mikoani", achana na Dar
 
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu, ubishi ni kujifanya mjuaji, kutojua hujui, kukosa busara, kutokuwa msikivu,kuwa na gubu, kutokufuata taratibu, kutumia sababu.

Makubwa!
"Kutojua hujui" inamweleza Magu vizuri sana
 
Mabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo.

Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria hazimruhusu kukaa zaidi ya siku 3 katika mkoa mmoja.

Bila shaka akimaanisha kukaa siku 3 mkoani nje ya ofisi rasmi za Magogoni au Chamwino.

Hizi sheria au taratibu ni mpya zilizoanza baada ya awamu ya sita kuingia ofisini au ndiyo ilivyo ila ilikuwa kupigana ma-changa ya macho?

Kumbukumbu zingali hai kwani si zamani tulipoaminishwa katika awamu ile kuwa rais anaweza kuweka kambi popote na kazi ikaendelea bila ukomo!

Kama aliyosema mama leo ndiyo ukweli wenyewe basi pongezi sana mama Samia kwa kuzingatia maadili, taratibu na sheria.

Unatudhihirishia kwa vitendo kuwa unayo nia ya dhati ya kuhakikisha kuwa wewe kama tunavyowajibika sote kwa mujibu wa sheria wewe kama rais siyo exceptional.

Hongera sana mama Samia kwa kuzingatia utawala wa sheria kazi inapoendelea!
Bahati mbaya unaandika ulivyo elewa badala ya alichomaanisha. Anaziara nchi nzima kwa mujibu wa ratiba za kazi sio sheria 🐕 wewe.
 
Kwa maelezo yake mwenyewe haya:

pana mmoja baina yetu ni huyu bwana: 🐕!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kiswahili kabisa tunaojua tamaduni zetu, ukiondoka sehemu kuaga lazima uwe na excuse, huwezi kuaga tu ukaondoka bila excuse.

Ulimsikiliza?

Huwezi kuniambia walioweka utaratibu walikosea mpka wewe uje useme kuwa popote inawezekana mmh!
Yule mjamaa alikuwa ana matatizo sana. Hata kuuza nyumba za serikali, waliofanya mipango waliziweka kimakakati, hawa jamaa wakauza, mpaka Mama Makinda akaenda kukaa uchochoroni huko Sinza.... Hivi ikitokea succession chain ingeingia in trouble, Mama Makinda si unapaki tu tractor kwenye kale kauchochoro kake.

Taratibu lazima zifuatwe... hizi ofisi zina miundombinu na hazipo kwa bahati mbaya, Dar es Salaam kambi za jeshi kila kona, air and sea defense systems zipo. Huko Chattle hizi facilities zipo kweli? Au ndio walikuwa wanahama nazo.
 
Awamu ya tano ilikuwa ya aina yake.

Alikuwa fyatu na wengi hata wenye akili zao wakatanguliza matumbo yao. Ikawa ni kupigana vikumbo kushindana kuilsifia hata visivyopaswa.

Rejea:

Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu fyatu ni punguani, mwenda wazimu, mwenye akili zisizomtosha, chizi, asiye simile, asiye subira wala hekima.

Kwa maneno mengine kwamba akiwa na faili mirembe kama Jobo ingependeza zaidi.

Hiiiiii bagosha!
 
Mabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo.

Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria hazimruhusu kukaa zaidi ya siku 3 katika mkoa mmoja.

Bila shaka akimaanisha kukaa siku 3 mkoani nje ya ofisi rasmi za Magogoni au Chamwino:

View attachment 1819828

Hizi sheria au taratibu ni mpya zilizoanza baada ya awamu ya sita kuingia ofisini au ndiyo ilivyo ila ilikuwa kupigana ma-changa ya macho?

Kumbukumbu zingali hai kwani si zamani tulipoaminishwa katika awamu ile kuwa rais anaweza kuweka kambi popote na kazi ikaendelea bila ukomo!

Kama aliyosema mama leo ndiyo ukweli wenyewe basi pongezi sana mama Samia kwa kuzingatia maadili, taratibu na sheria.

Unatudhihirishia kwa vitendo kuwa unayo nia ya dhati ya kuhakikisha kuwa wewe kama tunavyowajibika sote kwa mujibu wa sheria wewe kama rais siyo exceptional.

Hongera sana mama Samia kwa kuzingatia utawala wa sheria kazi inapoendelea!
Magufuli alikuwa anauguza Mama mzazi ifahamike hilo. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom