LINGWAMBA
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 484
- 1,214
Mama yetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani, wewe ndio Rais wetu, tukiwa na shida lazima tukulilie wewe. Kuna mengi umeifanyia hii nchi mazuri na unasifa kubwa ya kuwa msikivu mfano suala la DP World.
Umesema umechukuwa mapendekezo ya watu ukarekebisha baadhi ya vitu vilivyolalamikiwa, na mimi leo ninakuomba hili suala la kuwapa mamlaka taasisi za serikali ziajili wenyewe, hapo sisi watoto wa masikini tusiokuwa na connection yoyote kupata hizo nafasi ni 5% tu.
Mfano mwezi huu NSSF walitangaza nafasi za kazi lakini ni kwa watu wa internal tu waliokuwa wanajitolea hapo NSSF. Jiulize, mimi ambae sina ndugu NSSF kupata tu field hapo sipati, hiyo kujitolea hili niwe na kigezo cha kuajiliwa nnatoa wapi?
Ombi langu mama; Rudisha nafasi zote za ajira Utumishi.