Rais Samia Sasa kalewa madaraka?

Rais Samia Sasa kalewa madaraka?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kafikia stage kusema watanzania wanapenda vya bure

Anikumbushe toka nyerere ameachia madaraka ni lini Tanzania Kuna kitu chochote Cha bure?

Elimu yenyewe hiyo mnayosema ya bure Kuna ndugu yangu mwaka huu katoa michango ya zaidi ya laki 2 mtoto wake aliyekuwa anaanza shule ya kata tena vijijini uko!!

Rais anatukosea heshima watanzania hakuna mtanzania anayepata Huduma yeyote bure isipokuwa yeye mwenyewe na mawaziri wake na takataka zingine serikalini.

Maji, Umeme,kodi, na kila kitu watanzania tunalipia ndio maana mnapata pesa za bure kununua ma v8

Hakuna mtanzania wa kawaida anayepewa chochote bure leteni umeme na maji ya uhakika acheni polojo. Tuna serikali ya kipumbavu Sana itoshe kusema!!.

Zanzibar ndio wanalipiwa umeme na bara Ila bara tunalipia umeme na maji tena kwenye luku tunalipia mpaka pesa za kodi kwenye mita za umeme.

Maji yenyewe hayapo lakini ukienda dawasa unakuta wafanyakazi kiabo wamewekana tu ushenzi na uozo mtupu wapo kufanya Kazi gani Kama maji hakuna?
Screenshot_20221123-213920_1.jpg
 
Huyu bibi nafasi ya urais haiwezi.wananchi tunalipa kodi na tozo.hakuna mwananchi amewahi kupata huduma ya bure isipokuwa yeye na urais wake wa kurithi anapata vitu vyote bure kuanzia magari,mavazi,maji nyumba,kusomeshwa watoto zake na wajukuu,chakula yaani kila kitu na kujipendelea kumiliki ardhi kubwa bara na wakati huo wa bara haruhusiwi kumilik ardhi zanzibar
 
Rais aliyezungukwa na wafanyabiashara, anayejazwa mawazo na wafanyabiashara muda wote, simshangai kwa hayo mawazo yake.

Laiti kama angekuwa mtu anayeshughulisha bongo yake kujua hili na lile, asingekuja na kauli ya kibepari kama ile, tena katikati ya mgao wa umeme ambao hao wafanyabiashara wanasiasa anaotegemea mawazo toka kwao, wameshindwa kuumaliza.
 
Back
Top Bottom