Rais Samia sauti ya Hayati Magufuli inakwambiaje kuhusu mafisadi?

Rais Samia sauti ya Hayati Magufuli inakwambiaje kuhusu mafisadi?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Umekuwa ukisikika mara kwa mara ukisema sauti ya Magufuli ina kwambia mara hivi mara vile, lakini hatujawahi kusikia sauti hiyo imekwambia chochote kuhusu;

1. Mafisadi
2. Wezi
3. Wavivu makazini
4. Rushwa
5. Wote wanaoshiriki kupandisha gharama za maisha bila sababu za msingi

Kuna kila dalili unatupiga chenga la macho tukuone mwema ila uhalisia hauko hivyo. Nchi imejaa majizi kila kona toka mpendwa wetu afariki.

Ni busara kuacha kulitumia vibaya jina la mpendwa wetu kama mambo ya msingi kusimamia yamekushinda 2025 ukae pembeni.

Ni mara mia usema unasikia sauti kutoka msoga tutakuelewa lakini siyo kwa hayati Magufuli. Maana uyatendayo yote ni ya msoga na si ya Chato.

Over.
 
Back
Top Bottom