Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Rais Samia alisisitiza kwa nguvu kuwa Serikali haijawahi, na haitawahi, kuingilia uhuru wa Mahakama. Alisema kuwa Mahakama ni mhimili huru unaofanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi.
"Serikali haijawahi kuingilia uhuru wa Mahakama. Uhuru wa Mahakama ni jambo tunaloliheshimu na kulilinda kwa maslahi ya haki, utawala bora na maendeleo ya taifa letu," alisisitiza kwa msisitizo mkubwa.
Rais Samia amehitimisha kwa kusema kuwa utawala wa sheria, haki kwa wote, na ulinzi wa uhuru wa vyombo vya kutoa haki, ni misingi imara ya kujenga taifa lenye mshikamano, maendeleo na ustawi wa watu wake.