Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Alikuwa anasoma hajasema yeyeRais Samia alisisitiza kwa nguvu kuwa Serikali haijawahi, na haitawahi, kuingilia uhuru wa Mahakama. Alisema kuwa Mahakama ni mhimili huru unaofanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi.
"Serikali haijawahi kuingilia uhuru wa Mahakama. Uhuru wa Mahakama ni jambo tunaloliheshimu na kulilinda kwa maslahi ya haki, utawala bora na maendeleo ya taifa letu," alisisitiza kwa msisitizo mkubwa.
Rais Samia amehitimisha kwa kusema kuwa utawala wa sheria, haki kwa wote, na ulinzi wa uhuru wa vyombo vya kutoa haki, ni misingi imara ya kujenga taifa lenye mshikamano, maendeleo na ustawi wa watu wake.
Huyu mwana mama kweli akili yake ni nyepesi sana."Serikali haijawahi kuingilia uhuru wa Mahakama. Uhuru wa Mahakama ni jambo tunaloliheshimu na kulilinda kwa maslahi ya haki, utawala bora na maendeleo ya taifa letu," alisisitiza kwa msisitizo mkubwa.
Mkuu katika nimeweka wazi utaratibu wa kufuata dhidi ya mtu aliye mtendea vibaya. Sio kutumia nguvu ya polisi.Tunapomkosoa Rais wa nchi lazima busara pia izingatiwe, hasa uchaguzi wa maneno .najua Kila binadamu anakuwa na matarajio yake lakini lisipopatikana kwa huyu sio sababu ya kutumia lugha ya dharau au kuudhi . Just ushauri tu
Mzee Ngonyani, tunakubaliana kabisa na wewe. Haswa kipindi cha uongozi wa hayati Dkt. Magufuli, tulishuhudia baadhi ya wanasiasa kama Mdude, Lissu, na Mbowe wakitumia lugha isiyo ya staha—wakionekana kukosa adabu katika maoni yao hadharani.Tunapomkosoa Rais wa nchi lazima busara pia izingatiwe, hasa uchaguzi wa maneno .najua Kila binadamu anakuwa na matarajio yake lakini lisipopatikana kwa huyu sio sababu ya kutumia lugha ya dharau au kuudhi . Just ushauri tu
Inahitaji roho ngumu sana kuwaamini wanasiasa wa ccmRais Samia alisisitiza kwa nguvu kuwa Serikali haijawahi, na haitawahi, kuingilia uhuru wa Mahakama. Alisema kuwa Mahakama ni mhimili huru unaofanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi.