The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Jinga kbs hilo, kwani nani rais kwa sasa?!?!Rais Samia Suluhu ameeleza vyema kabisa kwamba, wakipata ridhaa ya Watanzania katika kuongoza tena awamu nyingine, basi watatoa ajira mpya zaidi ya 10,000 kwa watumishi wa afya na walimu.
Unatumia kichwa au kiungo kipi kufikiri?Rais Samia Suluhu ameeleza vyema kabisa kwamba, wakipata ridhaa ya Watanzania katika kuongoza tena awamu nyingine, basi watatoa ajira mpya zaidi ya 10,000 kwa watumishi wa afya na walimu.
Ngoja nisome comments kwa kweliWaongo kazini....mmeshindwa kwa miaka 60
Elimu mkuu, just imagine yeye ni form 4 failure!!.Yaani Mama anajisemea cho chote anachoweza kusema!