Rais Samia akihutubia viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi baada ya kuzindua Jengo la Tiba Mionzi (Radiotherapy Unit) katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), Moshi mkoani Kilimanjaro, leo Juni 24, 2026, amesema serikali itanedelea kuhakikisha ushirikiano na madhehebu yote ya dini nchini.
Lakini katika maeneo mengine ya maji na mazingira, taasisi za dini pia zinafanya kazi huko. Na hayo ndio maeneo muhimu kwa maisha ya wanadamu. Kwa hiyo Serikali inawashukuru sana, na tunawahakikishia ushirikiano wetu katika kuleta ustawi wa Watanzania." - Amesema Rais Samia
"Niwahakikishie, kwa Serikali itaendelea kuenzi mchango wa madhehebu yote ya dini nchini katika kuimarisha ustawi wa watu wetu. Na hapa, ni shukrani maalumu kwa dini zote nchini. Tunasaidiana nao katika kutoa mchango wa elimu kwa watu wetu, lakini vile vile mchango wa matibabu. Na haya mambo mawili ni muhimu sana.Lakini katika maeneo mengine ya maji na mazingira, taasisi za dini pia zinafanya kazi huko. Na hayo ndio maeneo muhimu kwa maisha ya wanadamu. Kwa hiyo Serikali inawashukuru sana, na tunawahakikishia ushirikiano wetu katika kuleta ustawi wa Watanzania." - Amesema Rais Samia