Rais Samia serikali yako imwachie Mbowe. Siyo gaidi

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Damu ya Mbowe inakulilia kwasabb wewe ndiye kiongozi mkuu wa chama tawala na serikali.

Wafuasi wa Mbowe kucha kutwa wanajenga chuki dhidi yako mpk hapo utakapomwachia kiongozi wao.

Familia ya Mbowe inakulilia usiku na mchana, inapoamka, inapokula na inapolala.

Mliopo karibu na Samia mwambieni amwachie Mbowe. Siyo gaidi.
 
Tanzania nzima the so-called wazee wote akina Warioba, Kikwete, Mwinyi, Msekwa, Makinda, wazazi wa Samia, baba wa Samia, shangazi wa Samia, wajomba wa Samia, Masheikh wa Samia, Mama Maria, Makinda and a long chain of so-called wazee mmeshindwa kumshawishi Samia kumwachia Mbowe ( maana Mbowe atateswa bure, anasingiziwa kutokana na mawazo ya kisiasa tofauti na Samia).
Dunia nzima imeshindwa kumshauri Samia? Nyerere alimweka ndani mtu wa Cyprus, kwa hekina za Askofu Makarios, alimwachai baada ya kuombwa fanye hivyo.

Hapa kwetu so-called wazee wameshindwa au ndiyo CCM policy kwamba Mbowe anahatarisha uhai wa CCM madarakani?

Kwanini umshinikize Rais amuachie Mbowe ilhali kesi ipo Mahakamani!???

Kutwa nzima mnaiomba Serikali itawale kwa kufuata katiba ikiwemo utawala bora na demokrasia, sasa inakuwaje nyinyi wana Chadema mnashinikiza Rais aingilie uhuru wa Mahakama!??

Hivi mkishika madaraka ( Mungu aepushie mbali) si mtakuwa mnaziingilia sana hizi Mahakama kutimiza kazi zao kwa uhuru..!???
 
Mie nauliza kwani alomkamata Mbowe ni Samia?

Polisi wamemkamata na DPP kafungua mashtaka.
Yeye anaweza kutoa amri lakini hamuoni kama anaingilia mhimili wa dola.

Mashekhe hawa kupata msamaha wa raisi. Ina semekana aliwaambia kesi yende na kama kuna makosa washtakiwe kwa mujibu wa sharia.

Nahayo ndio aloagiza kwa upande wa Mbowe.
Pia kaagiza wote wengine kesi zao zende haraka ili wajue wanayo makosa au hawana.
pia aliagiza walo kuwa mahabusu kesi zifunguliwe na ziendeshwe kwa mujibu wa sharia.

Sasa mahakama na Polisi na DPP ndio pira lawo.
 
Mungu yupo Yani watu wanaugulia na kuomboleza mioyoni mwao juu ya mtihani anapitia Mboe [emoji24]

Ngoja tumuangalie Mwenyezi Mungu tuone mwisho wake na kile Mungu atawafanyia watesi wake!
 
unatumia vigezo gani kusema mbowe si gaidi?
Hilo ni wazi kwa kila mwenye akili. Labda uwe punguani ndiyo utaamini hizi sarakasi za wale wauaji wa Lijenje.

Magaidi, tena kwa ushahidi mwingi, ni polisi. Hata hicho wanachomfanyia Mbowe ni sehemu ya ugaidi.
 
duh1 kusema "hilo ni wazi kwa kila mwenye akili" unakua unamaanisha nini mkuu?

hii kauli yako ndio ushahidi kwamba mbowe si gaidi?
 
Tanzania nzima the so-called wazee wote akina Warioba, Kikwete, Mwinyi, Msekwa, Makinda, wazazi wa Samia, baba wa Samia, shangazi wa Samia, wajomba wa Samia, Masheikh wa Samia, Mama Maria, Makinda and a long chain of so-called wazee mmeshindwa kumshawishi Samia kumwachia Mbowe ( maana Mbowe atateswa bure, anasingiziwa kutokana na mawazo ya kisiasa tofauti na Samia).
Dunia nzima imeshindwa kumshauri Samia? Nyerere alimweka ndani mtu wa Cyprus, kwa hekina za Askofu Makarios, alimwachai baada ya kuombwa fanye hivyo.

Hapa kwetu so-called wazee wameshindwa au ndiyo CCM policy kwamba Mbowe anahatarisha uhai wa CCM madarakani?
Kuna siku Samia na hao washauri wake wale maharamia kwa uovu waliputenda dhidi ya Mbowe, dhidi ya wale makomandoo na mauaji ya komandoo Lijenje.

Mungu wangu, ujuaye mema na mabaya yetu, walipe hawa watesi sawasawa na matendo yao ili watambue kuwa hawana wanachowazidi binadamu wengine katika ubinadamu wao. Wasipotubu, tena kwa toba iliyo njema, tunaomba laana ikatembee juu yao na wazao wao.
 
Kwanini umshinikize Rais amuachie Mbowe ilhali kesi ipo Mahakamani!???

Kutwa nzima mnaiomba Serikali itawale kwa kufuata katiba ikiwemo utawala bora na demokrasia, sasa inakuwaje nyinyi wana Chadema mnashinikiza Rais aingilie uhuru wa Mahakama!??

Hivi mkishika madaraka ( Mungu aepushie mbali) si mtakuwa mnaziingilia sana hizi Mahakama kutimiza kazi zao kwa uhuru..!???
Hii kesi ni kesi bandia iliyotengenezwa na Serikali. Anachotakiwa Samia ni kufanya toba kwa uovu huu walioutenda dhidi ya Mbowe na wale vijana. Kisha kuwaachia.

Huko siyo kuingilia uhuru wa mahakama. Ni sawa na wewe, kwa hila na uwongo, uende kumshtaki jirani yako mwema kuwa ni jambazi, akakamatwa akawekwa ndani, ukatafuta mashahidi wa uwongo. Kabla ya kesi kwisha, ukaujutia uovu ulioutenda, ukaenda polisi kuomba kesi ifutwe, hiyo haiwezi kutafsiriwa kuwa umeingilia uhuru wa mahakama.

Kuingilia uhuru wa mahakama, ni kama endapo Rais ataiambia mahakama itoe hukumu anayoitaka yeye.
 
duh1 kusema "hilo ni wazi kwa kila mwenye akili" unakua unamaanisha nini mkuu?

hii kauli yako ndio ushahidi kwamba mbowe si gaidi?
Ndiyo maana nimesema kila mwenye akili anajua kuwa kesi ya Mbowe ni ya kubambikiwa. Wenye akili wanayajua mazingira ya Mbowe kukamatwa mpaka kuingizwa mahabusu, na kisha kushtakiwa. Watanzania wenye akili na jamii ya kimataifa inafahamu kwa uwazi kwa nini Mbowe yupo ndani.

Mbowe amekamatwa na kuwekwa ndani kwa sababu ya harakati za kupigania katiba mpya. Baada ya kuwekwa mahabusu, ndiyo akatafutiwa shitaka. Na kulikuwa na mabishano miongoni mwao wabambikiaji wamshtaki kwa kosa gani litakalokamilisha dhamira yao ya kuhakikisha anakaa ndani.
 
Kwanini umshinikize Rais amuachie Mbowe ilhali kesi ipo Mahakamani!???

Kutwa nzima mnaiomba Serikali itawale kwa kufuata katiba ikiwemo utawala bora na demokrasia, sasa inakuwaje nyinyi wana Chadema mnashinikiza Rais aingilie uhuru wa Mahakama!??

Hivi mkishika madaraka ( Mungu aepushie mbali) si mtakuwa mnaziingilia sana hizi Mahakama kutimiza kazi zao kwa uhuru..!???
Kwa inafiki anaofanya samia atakujs kufa mdomo wazi aulize waliofanya dhuluma wapo wapi
 
Duh mnalilia katiba mpya iweke mipaka ya executive and judiciary wakati huo huo wa kwanza kutaka kuivunja hio mipaka
 
Kuna siku Samia na hao washauri wake wale maharamia kwa uovu waliputenda dhidi ya Mbowe, dhidi ya wale makomandoo na mauaji ya komandoo Lijenje.

Mungu wangu, ujuaye mema na mabaya yetu, walipe hawa watesi sawasawa na matendo yao ili watambue kuwa hawana wanachowazidi binadamu wengine katika ubinadamu wao. Wasipotubu, tena kwa toba iliyo njema, tunaomba laana ikatembee juu yao na wazao wao.
AMEN
 
Mbowe amekamatwa na kuwekwa ndani kwa sababu ya harakati za kupigania katiba mpya. Baada ya kuwekwa mahabusu, ndiyo akatafutiwa shitaka. Na kulikuwa na mabishano miongoni mwao wabambikiaji wamshtaki kwa kosa gani litakalokamilisha dhamira yao ya kuhakikisha anakaa ndani.
Ithibitishie jf kwamba kwenye harakati za kupigania katiba mpya, mbowe alikua peke yake!

kama hakua peke yake! na wenzake hawajashitakiwa kwa makosa kama ya mbowe, iambie jf ni kwanini mbowe na si hao wenzake?

lakini vipi kuhusu washitakiwa wa kwanza hadi wa tatu katika kesi hii hii inayomuhusu mbowe, nao walikua kwenye harakati za katiba mpya?
 
Back
Top Bottom