Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Damu ya Mbowe inakulilia kwasabb wewe ndiye kiongozi mkuu wa chama tawala na serikali.
Wafuasi wa Mbowe kucha kutwa wanajenga chuki dhidi yako mpk hapo utakapomwachia kiongozi wao.
Familia ya Mbowe inakulilia usiku na mchana, inapoamka, inapokula na inapolala.
Mliopo karibu na Samia mwambieni amwachie Mbowe. Siyo gaidi.
Kama unaeza kushuka kutoka kwenye bed yako na sides zote wewe ni tajiri[emoji847]Damu ya Mbowe inakulilia kwasabb wewe ndiye kiongozi mkuu wa chama tawala na serikali.
Wafuasi wa Mbowe kucha kutwa wanajenga chuki dhidi yako mpk hapo utakapomwachia kiongozi wao.
Familia ya Mbowe inakulilia usiku na mchana, inapoamka, inapokula na inapolala.
Mliopo karibu na Samia mwambieni amwachie Mbowe. Siyo gaidi.
Kwa inafiki anaofanya samia atakujs kufa mdomo wazi aulize waliofanya dhuluma wapo wapi
Hii kesi ni kesi bandia iliyotengenezwa na Serikali. Anachotakiwa Samia ni kufanya toba kwa uovu huu walioutenda dhidi ya Mbowe na wale vijana. Kisha kuwaachia.
Huko siyo kuingilia uhuru wa mahakama. Ni sawa na wewe, kwa hila na uwongo, uende kumshtaki jirani yako mwema kuwa ni jambazi, akakamatwa akawekwa ndani, ukatafuta mashahidi wa uwongo. Kabla ya kesi kwisha, ukaujutia uovu ulioutenda, ukaenda polisi kuomba kesi ifutwe, hiyo haiwezi kutafsiriwa kuwa umeingilia uhuru wa mahakama.
Kuingilia uhuru wa mahakama, ni kama endapo Rais ataiambia mahakama itoe hukumu anayoitaka yeye.
Marehemu alitaka CHADEMA ifutwe. Kazi hiyo alipewa mtungi akishirikiana na ziro, diwani na simba.Ithibitishie jf kwamba kwenye harakati za kupigania katiba mpya, mbowe alikua peke yake!
kama hakua peke yake! na wenzake hawajashitakiwa kwa makosa kama ya mbowe, iambie jf ni kwanini mbowe na si hao wenzake?
lakini vipi kuhusu washitakiwa wa kwanza hadi wa tatu katika kesi hii hii inayomuhusu mbowe, nao walikua kwenye harakati za katiba mpya?
thibitisha hii ndio tuendelee.Marehemu alitaka CHADEMA ifutwe. Kazi hiyo alipewa mtungi akishirikiana na ziro, diwani na simba.
Ukasukwa mpango Mbowe upatikane na hatia ya ugaidi, na hivyo Chadema kifutwa kwa grounds za kuwa ni chama cha kigaidi.
Kabla ya hilo kukamilika, roho ya mtawala ikachukuliwa. Mpango mzima ukasitishwa.
ziro ni nani?ziro akapata mwanya wa kuufufua mpango wa awali.
Samia kashauziwa mbuzi kwenye guniaDamu ya Mbowe inakulilia kwasabb wewe ndiye kiongozi mkuu wa chama tawala na serikali.
Wafuasi wa Mbowe kucha kutwa wanajenga chuki dhidi yako mpk hapo utakapomwachia kiongozi wao.
Familia ya Mbowe inakulilia usiku na mchana, inapoamka, inapokula na inapolala.
Mliopo karibu na Samia mwambieni amwachie Mbowe. Siyo gaidi.
Kesi imegauka juu chiniMarehemu alitaka CHADEMA ifutwe. Kazi hiyo alipewa mtungi akishirikiana na ziro, diwani na simba.
Ukasukwa mpango Mbowe upatikane na hatia ya ugaidi, na hivyo Chadema kifutwa kwa grounds za kuwa ni chama cha kigaidi.
Kabla ya hilo kukamilika, roho ya mtawala ikachukuliwa. Mpango mzima ukasitishwa.
Mbowe alivyoanza harakati za kudai katiba mpya, na mama kuonekana amekereka sana na hilo, ziro akapata mwanya wa kuufufua mpango wa awali.
Kule Mza walikamatwa wengi pamoja na Mbowe. Wakiwa ndani, wengine waliachiwa, wengine walibambikiwa kesi mbalimbali. Mbowe wakakubaliana, waendeleze pale walipoachia. Lakini hawakutegemea mambo yaende kama yalivyoenda, ndiyo maana wanahaha sana, na hakuna mwenye uhakika wa kesho yake.