Rais Samia: Serikali Yangu Sio ya Maneno ni ya Vitendo

Kazi inaonekana
 
Akauze na bandari ya Zanzibar kama kweli ana nia njema. Asitufanye watoto tushajua malengo yake

Mimi ni Mtanganyika. Sio Mtanzania bara. Kuanzia sasa
Unauza Tanganyika yetu uansema huna manen mengi?
Kipindi Cha Mwendazake tulisikia Nemo CHAtO na Sukuma Gang....Sasa hivi ni Tanganyika na Zanzibar.


Siasa za ukabila,udini na ukanda zinaitafina sana ChAdeMa na wafuasi wa Mwendazake.
 
Sisi wa huku Vijijini tutamchagua ,nyie endeleeni kubishana na ujinga wenu wa DP World na kuuza Bandari..

Mwisho kama hatoboi utamchagua nani? 🤣🤣🤣
 
Kaka Pole.Yaan mm mwana CCM Nimetumia nguvu nyingi sana kujenga jina la mwenyekiti .nyingi sanaaaa lakini nyiiingi ila sasa 2025.Nawapigia chadema
Unapoteza kura Kwa sababu hawawezi kushinda hata ufanyaje bahati nzuri kura za ccm ziko Vijijini na huko Vijijini ni uhakika,Chadema itaonesha nini huko Vijijini Ili wachaguliwe?
 
Kazi inaendelea 👇
 
Akauze na bandari ya Zanzibar kama kweli ana nia njema. Asitufanye watoto tushajua malengo yake
Hata akitaka kuuza bandari ya Tanganyika, utamfanya nini? Japo hana nia ya kuuza, wala hakuna mahali alipo sema anauza bandari.

Nyumbu mna matatizo kicwani. Nyumbu mkiambiwa na bwana yenu inameni, hakika mta inama
 
Yes Nyerere alituchelewesha kuuza ardhi yenye madini
Mkapa akaacha kuendelea kuuza mbuga zetu.

Mama auze Loliondo
Bandari
Na akodishe kila kitu kwa wajomba zake.
Fambaf zenu machawa na mfuga chawa mwenyewe
Nyerere alikuwa mpuuzi mmja aliwaona wajinga nyie ndio maana akawa anatumia rasilimali za Nchi kuwapigania wengine ila nyie manyumbu mkaachwa na upuuzi wenu ndio maana Hadi Leo hii hamna akili
 
Hata akitaka kuuza bandari ya Tanganyika, utamfanya nini? Japo hana nia ya kuuza, wala hakuna mahali alipo sema anauza bandari.

Nyumbu mna matatizo kicwani. Nyumbu mkiambiwa na bwana yenu inameni, hakika mta inama
Waambie Samia is distinguished
 
 

Attachments

  • IMG_0894.MP4
    21.2 MB
Kuna Serikali iliyopita iliyoidhinisha uchawa ?, Inayowaambia Mawaziri n.k. wazunguke huko kuwaelewesha wananchi kinachofanyika ? Sasa kama vitendo vinaonekana machawa wanini kuelewesha watu....

Au vitisho vya nini vya kuwaambia waandishi wakikupapasa sijui utawafanya nini na wakifanya vinginevyo utawaparura ?!!!!
 
Hivi rais anasababu ipi ya kuita wananchi wanae ?
 
 
Kwa sehemu kubwa kashapoteza Imani kwa wale waliokuwa wakimuunga mkono. Waliobaki hivi sasa ni wale ignorant people na wale chawa wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…