Rais Samia, shupaza Shingo kabisa, Huu ni ujumbe kutoka kwa bibi yangu

Hapo umenena ukweli mtupu 100 % .
 
CCM ni majangili tupu
 
Yani nyinyi na gende lenu mpo 20 ndio mnajiona watanzania milioni 60+ ile nyomi Dodoma
bado tu mnajiita gender lenu ndio watanzania 😜😜
 
Swali fikirishi hivi Zanzibar ni nchi na kama siyo nchi kwanini wana katiba Yao na kama ni nchi kuhusu jeshi la ulinzi inakuwa vipi
Achana na Zanzibari imemshinda baba ako wa Taifa Nyerere , utajipa BP ya bure acha mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…