Bei ya bidhaa kuongezaeka Hilo ni Dunia nzima,na Kila mwaka lazima iwe hivyo ukubali ukatae kwani alivyoingia yeye madarakani bidhaa hazikuoanda?Yule aliyepita aliacha vitu Bei chini lakini huyu aliyopo ameshindwa kudhibiti mfumko wa Bei kwanini tusilaumu
Duniani koteBei ya bidhaa kuongezaeka Hilo ni Dunia nzima,na Kila mwaka lazima iwe hivyo ukubali ukatae kwani alivyoingia yeye madarakani bidhaa hazikuoanda?
watu wameamka siku hiziYule aliyepita aliacha vitu Bei chini lakini huyu aliyopo ameshindwa kudhibiti mfumko wa Bei kwanini tusilaumu
Na katiba SI mwarobaini ndio maana raia hawana mda nayo? Mnachekesha sanawatu wameamka siku hizi
kuwadanganya eti wapiganie Katiba Mpya ije ishushe bei ya Mafuta iliyopanda Dunia nzima wanakuona kama mchekeshaji tu
siku hizi page zinazoongelea ndoa ya Haji Manara na ya Dr Mwaka zinapata followers wengi kuliko za mijadala ya Kisiasa kwa kuwa kote kumeonekana ni ubabaishaji tu
Siku mkija na pendekezo la kufuta Katiba ili nchi iendeshwe Kwa Presidential decree nitaungana nanyi.watu wameamka siku hizi
kuwadanganya eti wapiganie Katiba Mpya ije ishushe bei ya Mafuta iliyopanda Dunia nzima wanakuona kama mchekeshaji tu
siku hizi page zinazoongelea ndoa ya Haji Manara na ya Dr Mwaka zinapata followers wengi kuliko za mijadala ya Kisiasa kwa kuwa kote kumeonekana ni ubabaishaji tu
Heti katiba Mpya SI muhimu Sasa SI tufute hata hii tuliyonayo?Siku mkija na pendekezo la kufuta Katiba ili nchi iendeshwe Kwa Presidential decree nitaungana nanyi.
Kwani mliambiwa yeye ni "Mungu Mtu'Salamu,
Bila kumung'unya maneno katiba yetu ni tatizo la msingi sana, hata huu ugumu wa maisha ni zao la katiba wengi hawawezi kuelewa hapa.
Kwa kiwango kikubwa haya magumu tuliyo nayo Sasa ni matokeo ya uvurugaji wa yule aliyepita, na ukweli ni kwamba tutaumia Kwa zaidi ya miaka 15 Wenye akili wataelewa hapa.
Raisi Samia kuiongoza na kuifikisha nchi hapa ilipo ni miujiza na ushujaa, wafuasi wa mwendazake watakasirika sana hapa.
Mama endelelea kuwatumikia wananchi kwani tunakuelewa sana.
2025 -2030 tunakutegemea hapa wapinzani watanuna sana lkn hakuna namna.