Fukua
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 546
- 479
Salamu,
Bila kumung'unya maneno katiba yetu ni tatizo la msingi sana, hata huu ugumu wa maisha ni zao la katiba wengi hawawezi kuelewa hapa.
Kwa kiwango kikubwa haya magumu tuliyo nayo Sasa ni matokeo ya uvurugaji wa yule aliyepita, na ukweli ni kwamba tutaumia Kwa zaidi ya miaka 15 Wenye akili wataelewa hapa.
Raisi Samia kuiongoza na kuifikisha nchi hapa ilipo ni miujiza na ushujaa, wafuasi wa mwendazake watakasirika sana hapa.
Mama endelelea kuwatumikia wananchi kwani tunakuelewa sana.
2025 -2030 tunakutegemea hapa wapinzani watanuna sana lkn hakuna namna.