Msihangaike sana maana shida ilianzia hapaRais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Kuwa rais wa JMT ndio kunamfanya asiwe muuaji? Ni muuaji fullstop.Sawa
Tatizo ni hawa akina Mwagito Chalamila maelezo yao hawayanyooshi Sawa Sawa
Ila kiukweli hili swala la kushambuliwa Mwenyekiti ambaye ni Rais wa JMT halikubaliki kabisa!
😆😆😆Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Wananchi Jilindeni wenyewe- ChalamilaSawa
Tatizo ni hawa akina Mwagito Chalamila maelezo yao hawayanyooshi Sawa Sawa
Ila kiukweli hili swala la kushambuliwa Mwenyekiti ambaye ni Rais wa JMT halikubaliki kabisa!
Tunataka report ya kifo cha Meddy kibao.Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Ripoti ya Tarehe 23 septemba hukuiona?Tunataka report ya kifo cha Meddy kibao.
Rais ambaye ni Samia kwa sasa anayo dhamana ya usalama wetu.Sawa
Tatizo ni hawa akina Mwagito Chalamila maelezo yao hawayanyooshi Sawa Sawa
Ila kiukweli hili swala la kushambuliwa Mwenyekiti ambaye ni Rais wa JMT halikubaliki kabisa!
Duuh nimeiona basi ishaisha hiyo.Ripoti ya Tarehe 23 septemba hukuiona?
Raisi anasema toto lako. Ni mtoto sio totoRais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Kusifiwa anasifiwa yeye peke yake na halalamiki, kulaumiwa anataka washirikiane na CCM wote!Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
napenda kula samaki wabichi ila umeme ukikatika kwa muda mrefu duu mara nyingi huwa wanaozaSawa
Tatizo ni hawa akina Mwagito Chalamila maelezo yao hawayanyooshi Sawa Sawa
Ila kiukweli hili swala la kushambuliwa Mwenyekiti ambaye ni Rais wa JMT halikubaliki kabisa!
Waambie Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa mwamba!Msihangaike sana maana shida ilianzia hapa