kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
aache utoto ,alipe gharama za LISu
Jeshi linafanya kiburi kwajili yake
Jeshi linafanya kiburi kwajili yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama hizi kauli peke yake zinaweza kusaidia, Raisi ni sawa na malaika hatakiwi kushutumiwa na yoyote sasa mpaka shutuma zinamfikia za namna hiyo, hapaswi kujibu majibi ya namna hiyo kwasababu walio fariki kweli wapo na watu wanashutumu vyombo vyako vya ulinzi na usalama, na siyo wapinzani tu wanao lalamika kuhusu mauaji hata wanachama wako pia wanalalamika, ni kweli tunaamini kuwa huwatumi wahusika wanajichukulia sheria wao wenyewe lakini uonyeshe kukerwa na haya madhila yanayo wapata wananchi wako.Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Mta nisamehe, ila naona kama Mh Rais ana kosea, Rais kama Rais ni kiongozi wa Tanzania, ana waongoza wanao mkubali na wanao mpinga. Ni saaa na baba wa familia. Kuna watoto watoto huwa upande wa mama na wengine upande wa baba. Ila baba hawezi kuwa piga vijembe wale walio upande wa mama.Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Jeshi la Polisi linahusishwa na mauaji ya Ali Kibao, Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ikiwemo Polisi anakiri labda kuua sisimizi? 😲😮Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua
Rwanda of dictator Juvenal HabyarimanaNakumbuka history fulani wakitaka kuua adui zao wanasema "kill that cockroach".
Hii iliwafanya wauaji waone bibadamu wenzao kama mende tu
Na nyinyi mleteni Biden afanye mahojiano na Pascal Mayala tuone kama USA iko salama kuliko Tanzania!!Sasa hivi Tanzania katika viwango vya kimataifa inang’ara?
Kasema hivyo na wamempigia makofi!
Kama inang’ara hivyo mbona hakwenda Marekani kwenye UNGA?
Kama kweli and inang’ara basi afanye mahojiano na Stephen Sackur kwenye HARDtalk halafu tuone [emoji1787].
Hata mabalozi wa US na EU wameona Hilo. Kwambà anaposema.Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
Wakiambiwa mwenyekiti wao/ Rais ni muuaji wajibu kweli, ameua nguvu hasi ya upinzani, ameua njia zote za kuzidisha umasikini nchini na amekuza uchumi wa nchi hii, ameua giza lililokuwa limegubika Tanzania na kwamba sasa tanzania katika kiwango cha kimataifa inang'ara.
Haya ndio aliyowahi kuua, hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Kwenye hili labda hayati Mkapa ndiyo angemudu, hawa wengine ni ngumu sana.Kama kweli and inang’ara basi afanye mahojiano na Stephen Sackur kwenye HARDtalk halafu tuone
Alimuuwa baba'ko au mama'ko?Rais ambaye ni Samia kwa sasa anayo dhamana ya usalama wetu.
Utekaji na uuwaji unaoendelea ukomeshwe na wahusika wakamatwe, otherwise yeye ni muuwaji tu.
Huko ndio kuishiwa kwenyewe. Uliweza kufunguwa domo lako wakati wake?Hata JPM aliitwa muuaji siyo kwamba alivuta trigger mwenyewe bali aliitwa muuaji kwa kuwatuma wauaji na kuwalipa mshahara.
Yuko sahihi kuhusu hoja yake hiyoAlimuuwa baba'ko au mama'ko?
Naunga mkono hoja, mtu mwenye wajihi kama huu, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” hawezi hata kuua panya!, kama ni kuua labda mbu, mende na sisimizi.Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo.
hajawai kuua mtu, labda sisimizi ndio amewahi kuua.
Na anaposema kwamba ameleta nuru anamaanisha mtangulizi wake alileta giza,yeye analaumu wengine lakini akilaumiwa yeye anaruka kimanga.Sasa hivi Tanzania katika viwango vya kimataifa inang’ara?
Kasema hivyo na wamempigia makofi!
Kama inang’ara hivyo mbona hakwenda Marekani kwenye UNGA?
Kama kweli and inang’ara basi afanye mahojiano na Stephen Sackur kwenye HARDtalk halafu tuone 🤣.