Bila shaka wewe siyo Farao aliyeamua kuziba masikio hata pale busara yote ilipoelekeza vinginevyo:
Kwani urais kitu gani kama unachoombwa ni kushinda au kushindwa kupitia tu uchaguzi ulio huru na wa haki?
Anasema TX Moshi (Rip):
"Sikia maneno ya kuambiwa na wana Ndekule, eeh Moshi weeh!
Eeh Ndekule!" 🎼🎵🦿