Prophet_of_Times
Member
- Jul 18, 2025
- 7
- 10
...
Naomba kumshauri mama. Amuachilie huru Mh Lissu na wafungwa wengine wote wa kisiasa! Kisha ajiuzulu urais. Na Mh Mpango atakapo kaimu urais aitishe bunge kwa ajili ya reforms za uchaguzi. Hapa mama ataheshimika daimaRAIS SAMIA: SIKILIZA NENO LA BWANA KUHUSU URAIS 2025
Salaam,
Mheshimiwa Rais, Mama Yetu, Kiongozi wetu,
Bwana Yesu Asifiwe. Asalaam Aleykum.
Napenda kukusalimu kwa heshima na mapenzi makubwa katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natumai uko bukheri wa afya na amani ya moyo.
Utangulizi
Kwanza kabisa, naomba kukupa pongezi za dhati kwa kazi kubwa na ya kipekee uliyofanya kwa nchi yetu katika kipindi cha takriban miaka mitano. Ulipokea jukumu la kuongoza taifa letu katika mazingira yasiyo ya kawaida—mshtuko wa kitaifa kufuatia kifo cha ghafla cha aliyekuwa Rais wetu mpendwa, hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Lakini kwa mkono wa Mungu aliye hai, uliweza kulituliza taifa, kuliongoza, na kulivusha salama katika majaribu hayo.
Si kwa bahati mbaya, bali ni kwa kusudi la Mungu tangu milele kwamba wewe, Mama Samia, uliteuliwa kwa wakati huo. Jina lako lenyewe lina ujumbe wa kinabii:
Samia – ulisikia kilio cha watu wako,
Suluhu – ukawa jawabu la amani katikati ya machungu ya taifa,
Hassan – ulionyesha rehema, ukafuta machozi, na kuwa chanzo cha tumaini jipya.
Kwa hakika, katika majira haya ya 2020–2025, umetimiza kusudi la Mungu kwa Taifa letu.
Ujumbe wa Kinabii
Mheshimiwa Rais, bila ya kukuchosha wewe na wasomaji wengine, naomba sasa kuelekeza ujumbe wa Bwana ambao alinifunulia kati ya 2015 - 2020 kuhusu hatima ya uongozi wa Taifa letu.
Amosi 3:7 yasema:
“Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.”
Ayubu 33:14–15 pia yasema:
“Kwa kuwa Mungu hunena mara moja, Naam, hata mara ya pili, ajapokuwa mwanadamu anaweza asielewe. Mungu husema na mwanadamu katika ndoto, katika maono ya usiku, wakati wa usingizi mzito uwaangukiapo wanadamu wasinziapo vitandani mwao.”
Katika ndoto usiku mmoja wa 2020, Bwana alinifunulia mambo yafuatayo:
- Kifo cha ghafla cha Rais Magufuli – jambo ambalo baadaye lilitimia mwaka 2021.
- Kuinuliwa kwako, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kuwa Rais baada ya msiba huo.
- Neno maalum kuhusu chaguo la Mungu kwa Urais mwaka 2025.
Urais wa Kipindi Kimoja
Mheshimiwa Rais, neno la Bwana katika Methali 16:9 linasema:
“Moyo wa mtu huifikiri njia yake, bali Bwana huelekeza hatua zake.”
Kabla ya kushika kwako hatamu, nilifunuliwa wazi kuwa kusudi la Mungu ni wewe kuhudumu kama Rais kwa kipindi cha miaka mitano tu. Ingawa mipango ya binadamu huenda ikawa tofauti, lakini kauli ya mwisho ni ya Bwana. Maana Methali 16:1 inasema: Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu.
Naomba nifuatilie kwa makini zaidi hapa:
Mhubiri 1:9 inasema: Kile kilichokuwepo kitakuwepo tena, kile kilichofanyika kitafanyika tena...” Na mstari wa 10 unaongeza: “Je, kuna jambo ambalo mtu asema, ‘Tazama, hili ni jipya’?”
Kwa hiyo, kama huwezi kuyaona haya kwa darubini ya kiroho, basi tafakari historia yako mwenyewe, ambayo Mwenyezi Mungu ameiweka kwa alama maalum:
Hii inaonesha kwamba katika historia yako ndani ya Serikali, umetumikia miaka mitano mitano, bila kuzidi. Historia hiyo haiko bila maana. Ni fumbo la kiroho ambalo linaonyesha kuwa Mungu alikusudia vipindi hivyo mahsusi.
- 2000–2005: Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira, Maendeleo ya Wanawake na Watoto - SMZ
- 2005–2010: Waziri wa Utalii, , Biashara na Uwekezaji - SMZ
- 2010–2015: Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) - JMT
- 2015–2020: Makamu wa Rais, JMT
- 2020/21– ? : Rais, JMT
Kama Bwana Yesu alivyomwambia Nikodemo:
“Ikiwa nimewaambia mambo ya duniani wala hamuamini, mtakuwaje mkiamini nikiwaambia mambo ya mbinguni?” (Yohana 3:12)
View attachment 3418242
Ikulu | Wasifu
Mheshimiwa Rais, haya si maneno yangu binafsi, wala hayajatungwa; bali ni taarifa za wazi zinazopatikana hata kwenye tovuti rasmi ya Ofisi yako. Kama vile Nabii Danieli alivyofunuliwa kuhusu nyakati na matukio yajayo kupitia maono na nambari—ambazo zilifichua mifumo ya mabadiliko ya kifalme, kiroho, na kisiasa—vivyo hivyo, mimi nilifunuliwa nambari hizi ambazo zinaweza kufunua alama za majira na mwelekeo wa mambo yanayokuja. Ni hekima ya kiroho na ya wakati inayoweza kutusaidia kutambua mapito ya taifa letu na nafasi yako ya kipekee katika historia hiyo inayoendelea kuandikwa.
Vilevile, japo linasemwa zaidi kisiasa, lakini kuanzia mwaka 1985, utaratibu mliojiwekea ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kuwa na mgombea mpya wa urais kila baada ya miaka kumi—yaani mwaka 1985, 1995, 2005, na 2015—umekuwa si tu desturi ya chama, bali pia alama ya mpango wa mbinguni. Mwenyezi Mungu alishauidhinisha utaratibu huu, na hata katika ulimwengu wa roho umetambuliwa rasmi kama sehemu ya mpango wake kwa taifa. Hivyo basi, mwaka 2025 unapaswa kuwa kipindi cha kutimilika kwa utaratibu huo kwa mujibu wa mpango wa Mungu, ili Mwenyezi Mungu aweze kutimiza mapenzi na agenda yake kupitia Mtumishi wake (kiongozi) aliyemtawaza kuketi katika kiti hicho.
Nini kinachotokea na kuendelea kutokea
Mheshimiwa Rais,
Sauti za nyikani—zinazopazwa na makundi mbalimbali kutoka maeneo tofauti nchini—ni kama “alarm” au “kilio cha mwisho” kutoka ulimwengu wa roho, zikitumika kama kengele ya tahadhari ya kiroho ili kukuepusha wewe binafsi na taifa kwa ujumla na madhara makubwa yanayoweza kujitokeza hivi karibuni. Sauti hizi huenda zisitoke tu kwa watumishi wa Mungu, bali pia kwa wanasiasa, wanaharakati, au hata wananchi wa kawaida, ambao huenda hawajui kuwa ni vyombo vinavyotumiwa na Mungu kwa muda huu kutamka onyo au maarifa ya kiroho. Kwa sababu hiyo, Mheshimiwa Rais, ninakuomba kwa unyenyekevu, usichukulie kwa hasira au kashfa sauti hizi—bali uzitafakari kwa hekima na utulivu wa kiroho.
Hali inayoonekana sasa ya kupungua kwa uungwaji mkono wa kisiasa kutoka kwa baadhi ya wananchi, pamoja na upinzani unaojitokeza hata ndani ya chama chako, si kwa sababu wewe ni kiongozi dhaifu au mbaya sana—la hasha! Bali ni dalili ya kwamba kibali cha kiroho ulichokuwa nacho cha kuongoza Taifa kama Rais kimefikia ukomo wake. Ulikuwa umepewa mafuta ya kipekee kwa muda maalum, kwa kusudi maalum, na sasa mafuta hayo yanaelekea kukoma kwa mujibu wa wakati wa Mungu.
Wapendwa,
Endapo maono haya hayatapokelewa kwa unyenyekevu wa kiroho na kuchukuliwa hatua, basi ziko dalili kwamba huenda Taifa likaingia kwenye kipindi cha mpito kisicho cha lazima, ambapo aliyekwishatangaza nia ya kustaafu atapanda na kushikilia usukani kwa muda mfupi, wakati Farasi wa Kijani kikijipanga kupata mpanda Farasi mpya, na Refa Huru akilazimika kuahirisha shindano hadi tarehe mpya itakapowekwa. Zaidi ya hapo, ili kudhibitisha ukuu wa Mungu kwenye Taifa na kuwanyenyekeza binadamu wanaotafuta kukikalia kiti cha mtawala mkuu, italazimika mwanga wa Jua la Kisiwani na ule Mwezi umulikao Pwani kuzimika ghafla katika kipindi kimoja.
Mheshimiwa Rais,
Kwa heshima, taadhima na moyo wa upendo kwa Taifa letu, naomba ukubali kutafakari ujumbe huu kwa utulivu wa moyo. Ingawa dalili na majira yanaonesha kuwa hatima na hukumu fulani tayari imeelekezwa, na kwamba taifa linaelekea kwenye giza zito iwapo hakutakuwa na mabadiliko, bado naamini kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ni mwingi wa rehema, anaweza kuleta rehema na iwapo tutamwelekea kwa unyenyekevu na maombi.
Mheshimiwa Rais, historia ya Mfalme Hezekia inatufundisha kuwa, hata hukumu ilipoonekana kuwa ya mwisho, Mungu alisikiliza kilio chake na akampa miaka zaidi ya kuishi. Ingawa hali yako si sawasawa na ile ya Hezekia (ya kuendelea kuwa mpanda Farasi), somo kuu tunaloweza kulipata ni kwamba kuna nafasi ya rehema kupitia unyenyekevu, maombi, na uamuzi wa busara.
Katika muktadha huu, inaonekana wazi kuwa kilicho muhimu sasa si kupanda farasi tena, bali kusimamia kwa hekima na uaminifu mchakato wa mpito salama ndani ya Farasi wa Kijani, unaoleta mshikamano wa kitaifa na maono mapya ya uongozi kwa kizazi cha sasa na hata baadae.
Mama Samia,
Kwa unyenyekevu mkubwa, naomba usikie, utafakari, na kuupeleka moyo wako mbele za Bwana katika maombi. Maamuzi ya mwisho yawe kati yako na Mwenyezi Mungu, si na wapambe. Mwenyezi Mungu akubariki.
Rais ajaye (2025 - )
Mungu akipenda, nitalisemea zaidi nyakati zijazo.
Shalom!
Huyu Bi Chura ishara zote zinamkataa, lakini kafungwa ufahamu maskini anapambana na fate!RAIS SAMIA: SIKILIZA NENO LA BWANA KUHUSU URAIS 2025

Takataka,RAIS SAMIA: SIKILIZA NENO LA BWANA KUHUSU URAIS 2025

Duh...!soma HIIRAIS SAMIA: SIKILIZA NENO LA BWANA KUHUSU URAIS 2025
Wapendwa,
Endapo maono haya hayatapokelewa kwa unyenyekevu wa kiroho na kuchukuliwa hatua, basi ziko dalili kwamba huenda Taifa likaingia kwenye kipindi cha mpito kisicho cha lazima, ambapo aliyekwishatangaza nia ya kustaafu atapanda na kushikilia usukani kwa muda mfupi, wakati Farasi wa Kijani kikijipanga kupata mpanda Farasi mpya, na Refa Huru akilazimika kuahirisha shindano hadi tarehe mpya itakapowekwa. Zaidi ya hapo, ili kudhibitisha ukuu wa Mungu kwenye Taifa na kuwanyenyekeza binadamu wanaotafuta kukikalia kiti cha mtawala mkuu, italazimika mwanga wa Jua la Kisiwani na ule Mwezi umulikao Pwani kuzimika ghafla katika kipindi kimoja.
Shalom!
Kama zilivyo hizo nywele za kinyeo chako mbwa weweTakataka,
Gwajima mpaka aja. mbeKama zilivyo hizo nywele za kinyeo chako mbwa wewe
DuhKama zilivyo hizo nywele za kinyeo chako mbwa wewe
Ajaye wala si huyo, na hahusiki na thread hii.Gwajima mpaka aja. mbe