GE2025 Rais Samia sikiliza neno la bwana kuhusu Urais 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Naomba kumshauri mama. Amuachilie huru Mh Lissu na wafungwa wengine wote wa kisiasa! Kisha ajiuzulu urais. Na Mh Mpango atakapo kaimu urais aitishe bunge kwa ajili ya reforms za uchaguzi. Hapa mama ataheshimika daima
 
Huyu Bi Chura ishara zote zinamkataa, lakini kafungwa ufahamu maskini anapambana na fate!
 
Takataka,
 
Duh...!soma HII
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…