Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kumbe ndo mana anasafiri sana atimize ndoto.Rais Samia ameyazungumza hayo leo katika siku ya wanawake duniani ambapo nae amehudhuria kongamano la wanawake.
Source: Swahili timesView attachment 2928719
Atupe picha ake wakati yupo 20s tufanye assessmentHivi hao watu si wanakuaga ma model flani hivi?Anyway ATCL vibonge wapo lolote lingewezekana as long as ni tz
Itakuwa kabla ya kuwa mwanasiasa alikuwa ni missHivi hao watu si wanakuaga ma model flani hivi?Anyway ATCL vibonge wapo lolote lingewezekana as long as ni tz
Hivi hao watu si wanakuaga ma model flani hivi?Anyway ATCL vibonge wapo lolote lingewezekana as long as ni tz
Ndo maana full time yupo anganiView attachment 2928740
Rais Samia ameyazungumza hayo leo katika siku ya wanawake duniani ambapo nae amehudhuria kongamano la wanawake.
Source: Swahili times
Kashakwambia yeye anapenda Ndege nini kingine unaulizaNdo maana full time yupo angani
Naona anatimiza ndoto zake akiwa rais kwa kupaa kila siku🤣🤣🤣View attachment 2928740
Rais Samia ameyazungumza hayo leo katika siku ya wanawake duniani ambapo nae amehudhuria kongamano la wanawake.
Source: Swahili times