Rais Samia: Simamieni haki za watu kwenye ardhi

Rais Samia: Simamieni haki za watu kwenye ardhi

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
"Simamieni haki za watu kwenye ardhi" - Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.
---
Migogoro ya Ardhi imekuwa mingi sana, watu hawana raha kwa migogoro ya ardhi. Wana viardhi vyao vinanyang'anywa nyang'anywa.

Kuna wababe wao ndiyo wanajifanya Master Ardhi wanapita munyang'anya Wananchi ardhi zao.

Niwaombe sana simamieni haki za watu kwenye ardhi
 
"Simamieni haki za watu kwenye ardhi"
ana maana gani? nani asimamie? Mahakama? makonda? DC? RC? Waziri wa Ardhi? Kamishina wa ardhi? NANI ASIMAMIE?
Tatizo ni wafanyakazi idara ya ardhi, hakuna zaidi ya hapo.....
 
Back
Top Bottom