"Simamieni haki za watu kwenye ardhi" - Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.
Your browser is not able to display this video.
--- Migogoro ya Ardhi imekuwa mingi sana, watu hawana raha kwa migogoro ya ardhi. Wana viardhi vyao vinanyang'anywa nyang'anywa.
Kuna wababe wao ndiyo wanajifanya Master Ardhi wanapita munyang'anya Wananchi ardhi zao.
ana maana gani? nani asimamie? Mahakama? makonda? DC? RC? Waziri wa Ardhi? Kamishina wa ardhi? NANI ASIMAMIE?
Tatizo ni wafanyakazi idara ya ardhi, hakuna zaidi ya hapo.....