GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pale Mbumbumbu anapotokwa na damu mafichoni sababu tu ya utaahira uliomzidi kwa kuwa na chukiNashauri hiyo Hela ( Gharama ) ya Ndege kuwapeleka Wachezaji wa Yanga SC na Wanachama Wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba / kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.
Asanteni sana na mno USM Alger FC.
Naunga mkono hoja wametuaibisha..Nashauri hiyo Hela ( Gharama ) ya Ndege kuwapeleka Wachezaji wa Yanga SC na Wanachama Wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba / kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.
Asanteni sana na mno USM Alger FC.
Mayele akifa yanga imekufa au sioNaunga mkono hoja wametuaibisha..
Timu yenyewe Ina mchezaji mmja inajifanya ni mkubwa
leo timu kubwa zote zinafungwa hata man city nae naona kafa km ilivyo kwa yanga so furahieni MAKOLONashauri hiyo Hela ( Gharama ) ya Ndege kuwapeleka Wachezaji wa Yanga SC na Wanachama Wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba / kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.
Asanteni sana na mno USM Alger FC.
kama hawa wanaocheza faino wapuuzi vp wale wafa kiume tuwaiteje!!au ndo BORA ANDAZI!!Nashauri hiyo Hela ( Gharama ) ya Ndege kuwapeleka Wachezaji wa Yanga SC na Wanachama Wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba / kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.
Asanteni sana na mno USM Alger FC.
Nasikia ndege yenyewe inaumwa mafua ya ndegeNashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba/kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.
Asanteni sana na mno USM Alger FC.
πππππKwahyo leo hakuna mayele ππππ sasa ali kamwe ataweka wapi sura yake lainiiii.
Yanga wapigwe tu waliponiboa sehemu za kushangilia na kuhamasisha mambo ya soka wanakuja na picha ya samia waache kuchanganya ccm na Yanga ila safari hii wacha watandikwe kwanza......... Acha inyeshe tujue wapi panavujaNashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba/kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.
Asanteni sana na mno USM Alger FC.