Rais Samia sitisha Ndege Kuwapeleka Yanga SC nchini Algeria kwani kwa 99.9% Mabingwa watakuwa ni USM Alger FC

Rais Samia sitisha Ndege Kuwapeleka Yanga SC nchini Algeria kwani kwa 99.9% Mabingwa watakuwa ni USM Alger FC

Ndege Itaenda sababu hakuna kiongozi wa yanga aliyeiomba serikali kutoa ndege bali serikali yenyewe ndio imeamua kutoa ndege nyie mnaotaka isitishwe nasemajeeeeee itaenda haijali yanga itafunga itafungwa au ita draw airtanzania peleka watu Raisi ndio kasemaaa
 
Nashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba/kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.

Asanteni sana na mno USM Alger FC.
Roho mbaya hiyo.
 
hata yanga nao hawajacheza FA na hata iyo fainali bingwa bado hajapatikana,au kuna mahali pale CAF wameandika bingwa wa shirikisho 2023 nani???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bingwa wa shirikisho ni USMA.
 
Back
Top Bottom