Rais Samia sitisha Ndege Kuwapeleka Yanga SC nchini Algeria kwani kwa 99.9% Mabingwa watakuwa ni USM Alger FC

Rais Samia sitisha Ndege Kuwapeleka Yanga SC nchini Algeria kwani kwa 99.9% Mabingwa watakuwa ni USM Alger FC

Kama nchi kuna miradi mingi imesimama kutokana na uhaba wa fedha na itakuwa jambo la aibu serikali kutumia mamilioni ya kodi za wananchi kwa kugharamia shughuli zisizo na tija kwa maendeleo ya taifa letu. Serikali kugharamia safari ya YangaSC ni sawa sawa na kusema serikali imegharamia aibu ya Taifa letu pendwa.
 
So, Safari ya ndege ikisitishwa hiyo miradi ambayo imesimama itakuwa imesibaba?
 
Waliomba Mwarabu apakae Kwanza Wese kabla ya Kuitelezesha Kunako na Kweli ametekeleza.
Algeria mjamaa hakuna lililoharibika shida ni hao waarabu vibaraka wa marekani na neta🙂) pussy...... Leo tunawapa metu neter.... Jahnaki Anunaki
 
Nyie Raja kwa hiyo aliwaomba na kuitelezesha mpaka hatimae akapiga vitatu nyumbani na ugenini.
Jamaa hovyo sana, sijui waliompatia zawadi ya umahiri wa uchambuzi wa soka la bongo walikuwa wamekosa kabisa wa kumpatia hiyo tuzo?

Afu kanajiona kanajua sana matusi kumbe Watu wanampuuza tu huyu Mbumbumbu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Uzi wako uliouanzisha unaandika wewe tu....juzi kati hapa umeandika kuisifia yanga leo imefungwa unabadilika na kuanza kuiponda. Ila mpira umeangalia wakati ulikuwa msibani unaaga na ukalalamika ulinyooshewa bunduki?? Be objective mzee baba. Pia ninahisi mpira huujui vizuri. Football is game of chance hii mechi Yanga wamepoteza kwa technical haswa goli la kwanza ila la pili kweli waliteleza na ninawalaumu kwa hilo...pia walikosa magoli mengi....Nabi alichelewa kufanya sub na alifanya makosa kumuanzisha AzizaK
 
Katika siku uliyoongea point ndio leo sasa......

Kama anatoa pesa yake mfukoni sawa,ila kama ni ile kodi yangu ninayokatwa kila siku nasema ashindwe,huwezi toa kodi za raia kwa ajili ya vilaza hawa wa utopolo
 
Waacheni wawakilishi wa taifa na waafrika wote kusini kwa jangwa la Sahara Wamalize kazi .
Mpira bado ni half time bado second half
 
Kwanza wanaenda kufanya nini wakati kocha wao analalamika...
FxPEM4VXsAIYz6S.jpg
 
leo timu kubwa zote zinafungwa hata man city nae naona kafa km ilivyo kwa yanga so furahieni MAKOLO
Man city final hajacheza badoo, hata FA badoo.
Acha kufananishaa man city na Andaziii Fc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi wako uliouanzisha unaandika wewe tu....juzi kati hapa umeandika kuisifia yanga leo imefungwa unabadilika na kuanza kuiponda. Ila mpira umeangalia wakati ulikuwa msibani unaaga na ukalalamika ulinyooshewa bunduki?? Be objective mzee baba. Pia ninahisi mpira huujui vizuri. Football is game of chance hii mechi Yanga wamepoteza kwa technical haswa goli la kwanza ila la pili kweli waliteleza na ninawalaumu kwa hilo...pia walikosa magoli mengi....Nabi alichelewa kufanya sub na alifanya makosa kumuanzisha AzizaK
Yanga walikosa mabao mengi yapiiii?? Labda lile la mayeleee lilopitiliza mstari had nje, tofauti na hapo hakna.

Waarabu ndo walikosa mengii mnooooo
 
Man city final hajacheza badoo, hata FA badoo.
Acha kufananishaa man city na Andaziii Fc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hata yanga nao hawajacheza FA na hata iyo fainali bingwa bado hajapatikana,au kuna mahali pale CAF wameandika bingwa wa shirikisho 2023 nani???
 
Back
Top Bottom