Roho mbaya hiyo.Nashauri hiyo hela (Gharama) ya Ndege kuwapeleka wachezaji wa Yanga SC na wanachama wao nchini Algeria katika Mechi ya marudiano itumike katika kusaidia Mambo mengine Muhimu ya Kimaendeleo na kamwe siyo kubeba/kuwabeba Wapuuzi wa Taifa.
Asanteni sana na mno USM Alger FC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bingwa wa shirikisho ni USMA.hata yanga nao hawajacheza FA na hata iyo fainali bingwa bado hajapatikana,au kuna mahali pale CAF wameandika bingwa wa shirikisho 2023 nani???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Durex sitoweza kojoa.. nitaua mtu [emoji39][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naskia ndege imebadili route,inaenda kuwafata walioenda kumzika mkono.
tupostie basi hata kapicha wamebeba kombe...AU NDO BORA TUCHAGUE ANDAZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bingwa wa shirikisho ni USMA.
Utaamuaa wee hata Tendee chaguaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tupostie basi hata kapicha wamebeba kombe...AU NDO BORA TUCHAGUE ANDAZI
Basi bora ANDAZIUtaamuaa wee hata Tendee chaguaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi bora ANDAZI