Rais Samia Suluhu akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala D. Harris

I hope there is trade mission in the entourage. As citizens we are ignorant of the itinerary
Ignorance is lack of knowledge, understanding, or information about something; on this context, itinerary ya mkulu inafahamika na wasaidizi wake na bila shaka sio public docx ili wapiga kura wa 2025 wawe na sehemu ya kushauri nini kifanyike pale mkulu akikutana na wakulu wenzie.

Nataka kuamini kwaweza kuwa na trade mission, but a smart mission should be strategically prepared to ensure in the course the country won't be in the state of begging for fish every now and then;

If at all there will be such a mission, we play for such initiative to be inclusive in the course of implementation.
 
Mwaka mmoja tu mama ashakula bata kama zote hapo bado ana miaka 9 mingine nahisi atazunguka dunia nzima 😂
 
All what we can ...hahaha kiingereza kamzidi magu lakini
mbona ni wote tu viingereza vyao chenga vya kusoma kwenye karatasi, juzi nlimskia Ummy Mwalimu nikacheka sana sema freshi tu lugha yenyewe ya kuazima.
kiingereza waliongea wazee wa zamani bana kina Nyerere, kikaja kuishia kwa mzee Chenge na akatupiga kwelikweli tukajua kumbe kiingereza sio dili!

hawa wa sasaivi wenye degree na diploma za mchongo achana nao kabisa
 
Pongezi kwa Mhe. Rais Samia na Makamu wa Rais wa Marekani.

Hakika Rais Samia anaupiga mwingi haijawahi kutokea.

Kwa mwendo huu wa Mhe. Rais Samia tutegemee mambo makubwa sana kwa maendeleo ya Nchi yetu.
Umbwa kabisa
 


Umemsikia huyo VP kashasema mpaka leo tayari kuna uwekezaji unakuja wa $1B ! kutoka US inawezekana hii safari ikawa na baraka sana
 
All what we can ...hahaha kiingereza kamzidi magu lakini

Hata kamzidi Albert Einstein pia kwa Kiingereza, Einstein hakujua lugha kiingereza vizuri, isitoshe Wanawake wana uwezo mkubwa wa kujifunza foreign languages kuliko Wanawaume, ni scientifically proven, lkn haimaanishi kuwa ana uwezo wa kutatua matatizo!
 
Sukuma gang hata mje na paukwa ipi hatuwezi kuwaamini kamwe. Mliwahi kutudanganya kuwa sisi ni nchi tajiri na tunatakiwa kuuza nguo za mitumba huko Uraya na Amerika....kenge wahed nyie!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
All the best kwake
 
Nilidhani makamu wa rais wa jamhuri ya Tanzania kumbe huko hata siwezi kusema angehamia uko tu,, Kuna haja gani ya kurudi huku
 
Umemsikia huyo VP kashasema mpaka leo tayari kuna uwekezaji unakuja wa $1B ! kutoka US inawezekana hii safari ikawa na baraka sana
wanawekaza kwa bila nishati nishat yenyewe ni ya kukatikakatika bile umeme wa kutosha hakuna uwelezaji
 
U.S. is our real Friend.
Long live relationship between Tanzaania and U.S.
tunafahamu mchango mkubwa wa marekni kwa Tanzania ktk sekta ya afya (US Aid), Education, e.t.c
 
Anavyojieleza utafikiri yeye ndio Makamu wa Rais na Kamala D. Harris ndio Rais! Ahahahahahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…