Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Namuona Prof HOD , Hamis Omary Dihenga, kuwa mwenyekiti wa Bodi ya mikopo,
Mmoja wa watu makini .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuona Prof HOD , Hamis Omary Dihenga, kuwa mwenyekiti wa Bodi ya mikopo,
Kwanini isisubiriwe basi hiyo Tume Huru ?Kwani hiki kinazuia mchakato kuendelea?
hakuna mchakato wowote hapo.Kwani hiki kinazuia mchakato kuendelea?
Rais Samia ni mtu makini sana truest mehakuna mchakato wowote hapo.
utakua ni mgeni hapa nchini.Rais Samia ni mtu makini sana truest me
mtanyooka tu wembe ni uleuleeeeeeee
Maigizo yaendelee............ Halafu bado wanataka waheshimiwe wakati wameshindwa kujiheshimu.... sasa hiyo Kamati ya Mutungi ya kusaka kinachodaiwa NEC huru ni ya nini hasa? Kamati iliyojaa makada wa CCM 100%! Bila Katiba Mpya hatutoki.
utakua ni mgeni hapa nchini.
Karibu sana Tanzania.
Hamis Omary Dihenga Prof, ni mtu makini ila kwa umri wake ilitakiwa akachunge mbuzi vijana wapewe hizo nafasi Kwa sasaNamuona Prof HOD , Hamis Omary Dihenga, kuwa mwenyekiti wa Bodi ya mikopo,
Mmoja wa watu makini .
Hivi kwa akili yako mnategemea tume huru ije kama zawadi ya birthday? Mwaka 2020 mlipata mbunge mmoja, 2025 mnaweza kupata madiwani 3 na hakuna kitu mtafanya.Huyu alikuwa mjumbe wa NEC ile ile iliyovuruga uchaguzi na kupora kura , hatakuwa na jipya , Sasa ndio muelewe kwamba kile kikao cha Mutungi na akina Zitto , Lipumba na mamluki wengine hakikuwa na maana yoyote .
Hii ndio Tume huru ya uchaguzi ?
Uongozi wa sasa ni njia Muhimu ya kapata katiba mpya. Hata Sisi CCM tunaliona hilo. Mfano Kwa sasa viongozi wote wakuu ni Chaco la Katiba Sio wananchi wala wa CCMHivi kwa akili yako mnategemea tume huru ije kama zawadi ya birthday? Mwaka 2020 mlipata mbunge mmoja, 2025 mnaweza kupata madiwani 3 na hakuna kitu mtafanya.
Rais Samia Suluhu amemteua Jaji Jacob Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Semistocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake.
Jaji Mwambegele ni Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mjumbe wa NEC.
View attachment 2059505
Ndio maana ni utawala wa shetani 😠Hivi kwa akili yako mnategemea tume huru ije kama zawadi ya birthday? Mwaka 2020 mlipata mbunge mmoja, 2025 mnaweza kupata madiwani 3 na hakuna kitu mtafanya.
Huna taarifa. Mhe. J. Mwambelege hajawahi kuwa sehemu ya menejimenti ya kusimamia uchaguzi Mkuu wowote Tanzania.Huyu alikuwa mjumbe wa NEC ile ile iliyovuruga uchaguzi na kupora kura , hatakuwa na jipya , Sasa ndio muelewe kwamba kile kikao cha Mutungi na akina Zitto , Lipumba na mamluki wengine hakikuwa na maana yoyote .
Hii ndio Tume huru ya uchaguzi ?