Rais Samia Suluhu amteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu TANROADS. Prof. Mgaya wa NIMR awa Mwenyekiti Bodi ya TAFICO

Rais Samia Suluhu amteua Rogatus Mativila kuwa Mtendaji Mkuu TANROADS. Prof. Mgaya wa NIMR awa Mwenyekiti Bodi ya TAFICO

Sasa aliyemteua mbobezi wa mambo ya bahari kuwa mtafiti wa magonjwa ya binadamu.. .. mhh??? Tunaomba serikali itueleze alifanikisha nini kwenye utafiti wa magonjwa ya binadamu kabla ya kuhamia huko anakohamishiwa sasa.
 
Huyu alikuwa amesha staafu miaka 4 nyuma Jiwe akawa amempa muda wa nyongeza. Hivyo ni stahili yake kuwa amepumzishwa na si kupigwa chini
 
Prof. Yunus Mgaya is Tanzanian, born in 1957. He studied at the University of Dar es Salaam, the University of British Columbia and the University College Galway in Ireland.

His research has focused mainly on coral reef fisheries, biology and management of invertebrate fisheries as well as aquaculture of different species.
 
Hongera mzee Mativila.

piga kazi kwa ubunifu na maarifa. tunataka kuona barabara zinakamilka.

Mfano mkeka /barabara kutokea kimara mwisho hadi kibaha barabara hii inahadhi ya kuwekewa taaa za barabarani, hili ndio lango kuu la kuingia Jijini.
 
House girl
Kama umeweza kutumia simu na kuweka comments,basi weye ni mtu mwenye akili timamu.Hivyo basi ni vizuri kama ungetumia akili zako vizuri,ni upumbavu kuweka comments za kijinga kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom